Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Siku moja moja basi uwe unatoa uzi tofauti na migegedo lol migegedo ipo haishiii

halaf kufanya gizani labda kama upo kachafu unajificha kwenye gizaaaa
 
Mambo siku hizi ni MSONDO "hadharani" gizani dharula especially night kali but ile ya kutakiana usiku mwema lazima uianzishe na mwanga wake kabisa unless labda kama mtu anachepuka kwa mama mkwe au baba mkwe anazima taa asione soo.
 
Nami ntaomba unisafirishee plz nimechoka kula vumbi bongo


my wiii usihofu wewe tna wao wana nini na sisi tuna nini ...tutasafirishana wooote ndani ya huki kipindi cha mjomba kilichobakia
kizuri kula na nduguyo
 
my wiii usihofu wewe tna wao wana nini na sisi tuna nini ...tutasafirishana wooote ndani ya huki kipindi cha mjomba kilichobakia
kizuri kula na nduguyo

Sumu wale waooo wafiee mbelee
 
hapo kwenye red inabidi ufanyie kazi
tena anzia kwangu....mimi bila mwanga wa kutosha sioni raha hata kidogo
Mambo kwenye mwanga gizani iwe dharula hata wahenga walisema "SHEMEJI ZIMA TAA" wakiamaanisha gizani ni kwa watu ambao wanachepuka na watu wa karibu kama mashemeji, mama mkwe, baba mkwe ili kuua soo lakini vya halali kwenye mwanga
 
kwanini chakula maalum ulie gizani? raha ya tunda uone pa kuanzia kulimega............
 
Back
Top Bottom