Kwanini wanandoa wakifumaniwa mwanamke hapigwi?

Ki uhalisia... anayepaswa kuadhibiwa ni huyo mwenza wako... Yeye ndiyo jukumu la kukataa kwa sababu anajua yupo na wewe... mpaka anaenda kuvua mtu chupi au kuvuliwa.. maana yake kwa njia moja au nyingine kakukana...
 
Adundwe tu mwanaume kazi yake Ni kutongoza so atakuwa kamtongoza mwanamke Adundwe tu
na vipi huyo mwanamke anaemtamanisha na kumtega mwanaume hadi kufikia stage ya kumshawishi amtongoze?
 
Ki uhalisia... anayepaswa kuadhibiwa ni huyo mwenza wako... Yeye ndiyo jukumu la kukataa kwa sababu anajua yupo na wewe... mpaka anaenda kuvua mtu chupi au kuvuliwa.. maana yake kwa njia moja au nyingine kakukana...
pamoja mkuu
 
Mke asiekuwa na msimamo atachepuka tuuu kuna wanawake wanapewa kila kitu but wanatom***sha pussy
 
Wake wakifuania inakuwaje? Kama sikosei haka kautaratibu kiwesemwa kwenye Biblia, na bado kapo mashariki ya kati kama sikosei!
 
mwanamke anapigwa lkn sio kweny fumanizi, akirudi nyumban ndo anakula kupondo chake kizitooo
 
Basi njoo kingi nikufundishe Kisandaswe au vipi? maana naona unaleteta taaluma butu.
 
inapendeza sana kama huwa unatoa majibu ya moja kwa moja na sio methali zako zisizokua na maana

Ooh methali. .... unamaanisha hii....
"Asiyejua maana haambiwi maana"

Okii dokie 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…