Kwanini wanandoa wa kiafrika sio romantic

Kwanini wanandoa wa kiafrika sio romantic

Ni kweli tunatakiwa kubadilika japo ni ngumu, kuna sister angu alinambia kuna kipindi alitaka kuifanya ndoa yake iwe romantic ila mume wake akamwambia amekuwa malaya na kapata bwana nje ikabidi aache kuokoa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwaona wamekaa njee usiku usifikiri wanaenziana Bali wanasubiri dawa waliyo puliza ndani iishe
 
Mila zetu zinachangia, hatuna utaratibu wa kuoana wazazi wanakumbatiana au kupeana mabusu mbele ya watoto au kwenye kadamnasi.
 
Yataka moyo..unaweza wewe kuwa romantic ila mwenzi anaona sio ishu hata kama anaenjoy...mf me napenda kumbebisha my Man,Napenda yaleee mapenzii ya kudekezana, kupeana raha hadi kulishana esp in private ila ye anaona ni tabia za kike /za kitoto sijui usanii ama uzungu hv kwahio inaniwia ngumu kuwa romantic mana nakosa support upande wa pili
 
Mda mwingi mtu anataka awe sura mbuzi wkt me I like being silly tukiwa wawili... Darasa la kumzoesha ni taabu uwii nmechoka kbs
 
Sisi waafrika tuna mapenzi ya ukweli, ndiyo maana mapenzi yetu yanadumu, ukiona siasa na rushwa zinaingia kwenye mapenzi ( kama vile kuambiwa maneno ya uongo wewe ni sweet, honey au kuletewa zawadi hizo ni rushwa) basi ujue hakukuna mapenzi ya kweli, ni saanaa tupu. Angalia ndoa zenye hayo mapenzi ya sanaa kama zinadumu. HII NI HYPOTHESIS TU SIJATHIBITISHA BADO
 
Back
Top Bottom