Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa


Huyo ndio chaguo la watanzania, kamuulize baba ritzmoko
 

Umelipwa kiasi gani kuandika huu utumbo? Ni afadhali kuwa maskini wa mali kuliko maskini wa akili.
 
Kwa Hiyo Ulitaka CDM Wampitishe Sheikh Mtopea?Bado Una Tabia Za Assad Wa Syria!Pole Kwa Maumivu
 

Hiyo ndiyo propaganda mliyojifunza uchina, Korea au Afganistan? Ndiyo hiyo ya Oooh "tumepata asilimia 80 katika chaguzi za serikali za mitaa" wakati watanzania si wajinga kama mlivyo, wamejionea wenyewe tokea Ruvuma hadi Bukoba, Mara, hadi Kilimanjaro hakuna kijiji ambacho CCM hamjaandika maumivu!
Sasa kama wananchi hawatamchagua si ndiyo afadhali zaidi kwenu? Waacheni wamteue ili mpate ushindi kiulaini? Sasa mnahunyahunya nini? Mnaugua maruhani? Huyo Kikwete wenu alishinda? Hamkumwona ile siku ya kutangazwa "ameshinda" alivyokuwa akitetemeka?
Ukweli utabaki ukweli; mliiba kura, mshindi halisi alikuwa Slaa ambaye leo mnamgwaya maana hakuna mtu wa kumatch naye ndani ya chama chenu cha wezi, wavuta bangi, walaghai, majambazi, wahaini, mafisadi na manyang'au wakubwa. Haya kakojoe ulale.
 

wewe ni gamba et?
 
Upo ushahidi wa kutosha kwamba mwaka 2010 Dr Slaa alishinda Uraisi akachakachuliwa. Kuna uhakika 100% mwaka huu Dr Slaa atashinda uraisi maana CCM hakuna mtu wa kupambana naye kama yupo atajwe tumjue. Kwa hiyo ni ukweli usiopingika kwamba Dr Slaa anakubalika nchi nzima.
 
chadema isahau km kuna kuchukua nchi hapa
 
binafsi chadema haitochkua kura yangu mpk nafa km ccm ntawachoka bora nisipige kuliko hao jamaa
 
kuchukua nchi sio mchezo hlf ukizingatia ushatangaza utafunga nchi nzima hata ushinde mara 1000000 nchi huipati
 
Maccm yameanza kuogopa mapema sana

Mkuu umeona hoja ya kitoto inayotoka kwa wapenzi waandamizi wa CCM?
Ni sawa na mechi ya fainali inakuja kati ya Real Madrid na Bacelona. Halafu wapenzi wa Bacerlona wanakuja na ushauri kuwa kocha wa Madrid hana sababu ya kumpanga Ronaldo kwa vile sio mchezaji mzuri ndio maana hata mechi iliyopita hakufunga. Tena wanaendelea kuwaonya kuwa kama wanataka ushindi ni heri wasimchezeshe kabisa Ronaldo ndio wataweza kuishinda timu yao ya Bacerlona.
Ushauri kama huo hata mtoto mdogo anaelewa unamaanisha nini kutoka kwa wapenzi wa Bacelona. Ndio mtoa mada anayesema ili kukishinda chama chake kipendwa basi UKAWA wasimsimamishe Dr Slaa bali ili washinde yeye anapendekeza labda Letsia Nyerere au Shibuda. Ha ha ha!
 
Tukishinda tena lazima tuingie ikulu kwa gharama yoyote. Arobaini ya majizi mccm imekaribia
 

Mungu akulinde sana .
 
Wagombea CCM s/mitaa walikuja na maneno hayohayo.Kawaulize wanavyojifungia majumbani mwao kwa aibu,na bado.
 

Tanzania ya leo iliyoathiriwa na ugonjwa wa tezi dume,inamhitaji sana mtu kama Dr Slaa awe Rais hata kama ni kwa mwezi mmoja ili aweze kuiweka kwenye mstari. Watanzania tunajuta kuchagua kwa kuangalia uzuri wa sura kuliko utendaji. Na ndicho tulichovuna. Nchi inahitaji Rais wa kulipa visasi ikiwezekana kunyonga viongozi wote wastaafu ili wengine wajifunze kuwa unatakiwa kuwatumikia watu na si kuuza nyago Ikulu na ufisadi.
 

2010 JK alivyosikia mgombea wa Chadema ni Dr Slaa akaanza kutetemeka mpaka akaanguka pale jangwani. Baada ya kuwekwa sawa kisaikolojia ndiyo akawa kidogo hatetemeki lakini katika muda ambao JK alikuwa na hali ngumu ni 2010, moyoni mwake anajua Dr Slaa ni noma mpaka midahalo JK alisepa.
 
slaa hawezi kuwa rais kwanza ni mzinzi pia hana uzoefu na mambo ya siasa za kimataifa he is just local politician asiye na msaada kwa watanzania.....
 
Maccm na mafisadi. Muda wote wanamuota dr. Slaa. Majungu na chuki haziishi huko lumumba juu yake!

Huyu ndiye kiongozi haogopwaye zaidi CCM hasa baada mwl Nyerere (RIP) kumtabilia Urais kabla Nyerere hajafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…