Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

Tazo la huyu Mzee ni dhaifu kwa lady,alianza na mwanakwaya wake akapata watoto wawili akaja kuvuruga wale wa viti maalum,kisha kwa PS wake makao makuu ufipa,hakujali kama mke wa mtu,kapata mtoto mmoja.
 
Mleta Maada unaonekana kabisa we we ni zao au mtoto wa mafisadi. Mafisadi yanaogopa sana kwenda jela. Kama umeiba pesa za selikari eti a compromise! Stupid kabisa, we need a man who cannot compromise usitishie watu na mifano ya Misri, mbona Zambia wastaafu maraisi wamefungwa na pako shwari? Nyie ibeni tu mjue kabisa hata Mimi ningeshinda uraisi ningefunga jela wote ambao wametuhumiwa, yaaani kitendo cha kutuhumiwa ni jela tu huku kesi yako ikisikilizwa taaratibu. Jueni kabisa wizi ni Criminal Offence ambayo huwaga haiozi hata miaka mia mbele, siumeona Marekani Cosby mchekeshaji ana kesi yakubaka alibaka akiwa na miaka 20 anashitakiwa Leo. Things will never be the same.....etii kucompromise, unaiba Esikuroo afu eti unakompromise??
 

You seems to have the message but you're faster in posting the comments. I would advise next time use one language either english or Kiswahili.
 

Wewe mtoto URAISI inatakiwa hekima na busara,usipo angalia baada ya siku tatu unapinduliwa.ukitaka kama ilivyo na haki wafanyakazi 90%inatakiwa waende mahakamani kwa makosa mbalimbali asubuhi baada ya kuapishwa ,na katika hao nusu WACHAGA.kwasababu ni watendaji ndio wananafasi nono serikalini.au nchi tuwape wanajeshi apo sawa,Kenya walianza upya lkn kikowapi leo??tuombe MUNGU tumpate RAISI mzuri.
 
Ni kweli kabisa. Huyu mtu anayomapungufu kadhaa ya msingi. Hadi leo hajaweka sawa maisha yake ya ndoa. Huu ni udaifu mkubwa. Ameshindwa kutuweka wazi kuhusu hili. Sidhani kama kuna mzazi makini atamuelekeza mwanae aishi kama huyu jamaa. Sidhani kama kuna kituo au taasisi inayoishi na vijana wanaojipanga waaze maisha kama watafamnya maisha ya huyu mzee yawe kioo chao

Pia fukuzafukuza ndani ya chama chake ni udhaifu mkubwa sana. Iweje wajione borakiasi cha kuwafukuza wenzao wakati wanahitajiana kwa umoja wao?

Zaidi ya yote ahadi anazotoa hazina msingi wa kiuchumi. Anaahidi mambo ambayo hahatekelezeki. Mabati Saruji nk. Ili tu apate kura. Bei ya mabati au saruji haipangiwi Ikulu. Hupangwa kutokana na gharama za uzalishaji.

Mwisho kabisa ni kiongozi ambaye ni mbinafsi. Kutogombea ubunge mwaka 2010 kuliendana na masharti ya kimaslahi kwake binafsi. Hivyl kwake yeye siasa ni biashara
 

hili Jambo La Kukosa Elimu Na Vijana Kuwa Wajinga Nimeshaliongea Sana,mleta Mda Akili Yake Imejaa Funza Tupu,kama Jk Ameweza Kuwa Rais Tena Kwa Miaka Kumi Na Upeo Mdogo Na Udhaifu Alionao,leo Hii Umfananishe Na Slaa,na Useme Slaa Hawezi Kuwa Rais,kwa Lipi? Urais Wa Tanzania Ni Cheap Business Kwa Sasa Hata Wema Sepetu Anaweza,kama Ikulu Imekuwa Maskani Ya Mateja Na Wahuni Kuna Nini?
 
Slaa toka alivyonitapeli pesa niliyomchangia harusi yake, sina hamu nae
 
hutaki kuchangia ondoka sio unawalilia mods km VP pandisha Uzi WK hu upotezee si lazm ukoment

we jamaa mdini sana, nina wasiwasi hata kama unarafiki mkristo, lakini habari njema ni kwamba, awe upinzani awe ccm the next president is a christian, ila usihofu wakristo hatuna chuki, hatufundishwi kulipa kisasi, watanzania wote tutaishi kwa amani tu
 
Zaidi ya yote ahadi anazotoa hazina msingi wa kiuchumi. Anaahidi mambo ambayo hahatekelezeki. Mabati Saruji nk. Ili tu apate kura. Bei ya mabati au saruji haipangiwi Ikulu. Hupangwa kutokana na gharama za uzalishaji.

tunawafahamu nyie wabishi sana ila shukrani baadae huja kuyakubali mliyo yakataa tena, dr slaa alitangaza mda elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi secondary, mkabisha sana, mkamdhihaki sana, chakushangaza profeseri wenu tunadikia katangaza tena katangaza elimu bure secondari, sasa sijui yeye hii kapanga nanani au na mama salma
 
None sense, Tanzania ya sasa haihitaji kiongozi legelege ili isonge mwele. Unafikiei eti sababu ni Salama wa taiga au kiongozi mstaafu kama kafanya ubadhilifu inabidi akenuliwe meno tu? Kama ni mnufaika wa ubadhilifu jua nimekula kwako
 

Hoja zako hazina mashiko, hata mimi nikiwa Raisi nitaweka ndani WALA RUSHWA wote hata kama alikuwa ni nani na wa chama gani!!.
 
Dr.Slaa ndiye raisi mwenye sifa ambazo watanzania wanazihitaji .Nyie ccm waliotangaza nia wote ni watu wa hovyo hovyo tu, ambao kimsingi wapo kwa ajiri ya kuendeleza ufisadi . KIla raisi atakayeingia anaendeleza wizi nani sasa anahitaji viongozi wa silka hiyo. Mwizi lowasa humfananishe na dr. Slaa , Lowasa ana
tofauti gani na alex massawe labda tu kwa kuwa alex massawe anatumia silaha yeye anatumia peni.
 
Dhu, kumbe CCM hawataki kuachia madaraka kwa vile hawajamuona Mandela wa upinzani. Mandela alsamehe makaburu siyo Mafisadi.
 
wilbroad.peter slaa 5th president of tanzania.hutaki acha.nenda.syria.kwa.assd.lazma.wezo.wafungwe.mandela.alisamehe.wapinzani.wa.kisiasa.sio.wezi.wa.mali.za.uma
 
Padri Slaa hawezi kuwa Rais wa Tanzania Kama vile hakuna Imani wa Msikiti wowote ule atawahi kuwa Rais wa Nchi hii.
 
Wewe kama slaa atakataliwa inakuhusu nini sasa??? Kaa kimya tu , au ndio mnamuogopa sasa mnawaomba cdm wamtoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…