Kwanini wananchi hawaungi mkono juhudi za Rais?

Kwanini wananchi hawaungi mkono juhudi za Rais?

jiulize tangu jiwe limeingia madarakani
Sukari imepanda au imepungua bei
Nondo zimepanda au zimepungua
Mafuta ya aina zote yamepanda au yamepungua
Simenti imepanda au imepungua
Mshahara umepanda au umebaki palepale
Furaha yako imepanda au imepungua?

ukimaliza hapo muunge mkono Rais
 
Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.

Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.

Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?

Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?

Maoni yangu:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?
Bawacha hao sio wananchi?
 
Kuwa mwandishi halafu ushughulishi akili yako ni sawa na bure...hao madiwani na wabunge wanapoama ushawahi kuna kwenye box LA kura wanashindwa,wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli kupitia box LA kura.
Utakua umetoka sayari ya kufikirika were.Tz kuna uchaguzi siku hizi au ni kutangaza na kupitisha wagombea wa ccm ..penye unafiki na wanafiki km nyie hata mungu hayupo. Na ndio maana hatusogei kimaendeleo. Tumepigwa upofu coz ni watu wa taifa lenye laana. MNASHANGILIA UPINZANI KUFA LKN FAHAMU NI SHANGWE ZA MUDA TU. ccm watafaya watakavyo nani wa kuwauliza? Watbadilisha na katiba huyo bwana atawale milele na alishasema na alikuwa hatanii. Akishapata bunge la chama kimoja ataliswaga atakavyo. NI MALENGO YA MUDA MREFU, WENYE JICHO LA TATU WANAJUA NI NN LINAFUATA HUKO MBELE! tusubiri!
 
Chama ni mali ya wanachama; kiongozi akiamua kuondoka kwa sababu zake mwenyewe haondoki na wanachama ambao ndiyo chama chenyewe.

Hata hivyo hujuma hazijawahi kuishinda haki hii ni tangu enzi na enzi na hii imethibitishwa na manabii kwamba Mwenyezi MUNGU hamtupi mwenye HAKI. Ni suala la muda tu.
 
Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.

Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.

Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?

Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?

Maoni yangu:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?

Ni swali la kipumbavu kuuliza "kwa nini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi [za Rais]?" Jee ni kweli kwamba hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi za Rais? Kama wewe humuungi mkono, sema wewe humuungi mkono kwa sababu ya ajenda zako binafsi na si kusema kwamba wananchi hawamuungi mkono.
 
Wewe kila kitu wako ni nani?
Yaani ni lini umesikia wananchi wanahama kwa kuunga mkono kwa kiwango cha viongozi wao? Kwa kasi ya viongozi kuunga mkono huoni kuwa kwa wananchi kasi yake ingekuwa ya 4G? Ivi kweli kwa ufahamu wako mbunge anaweza kuhama peke yake toka jimboni?
Hao lumumba vichwa vigumu kama jiwe.hawezi kuelewa huyo
 
Kwani ww huoni anavyovifanya nani atamuunga mkono wengi ukiona tunamsapot ujue akuna jinsi zaidi ya unafiki
Sasa mbona viongoz wanaunga mkono wakt wananchi hawaungi ndo kusema viongoz ni mbu... na wananchi ni akil nyingi duuu
 
Kipindi cha nyuma tulikuwa tukisikia bwana chakubanga kavuna mamia ya wananchi waliojiunga na Ccm ..leo hii mbunge akihama ni nderemo na vifijo kila kona ya Lumumba
Halafu mnisaidie kidogo. Hivi hao waheshimiwa wanaohama hawana wafuasi wa kufuatana nao kumuunga mkono mkulu?
 
Kuwa mwandishi halafu ushughulishi akili yako ni sawa na bure...hao madiwani na wabunge wanapoama ushawahi kuna kwenye box LA kura wanashindwa,wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli kupitia box LA kura.

Kwa taarifa yako huko kwenye box la kura ndio ccm imechanganyikiwa kabisa. Mbali ya kwamba watu wengi wamepuuza kupiga kura, lakini hata hao wachache waliopiga wengi hawakuipa kura ccm. Nadhani umemsikia Katibu mkuu akilalamika watu kutokujitokeza kupiga kura. Hiyo ni dalili kwamba watu hawamuungi mkono.
 
Kwani ulivyotaka kuhama wamekukatalia? Si unahama tu,Wananchi tunaunga mkono kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu.[/QUOTE

Hawa wananchi mbona hawapigi kura kuonyesha kuunga mkono?
 
Kwa mfano, HILI LA UKISOMA shule za PRIVATE hutapata mkopo elmu ya juu..!!! UNADHANI ANAWAAMBIA AKINA NANI? Hizo private ni za akina nani?
Hii ni sawa na kuwaambia kuwa ni marufuku kusomesha watoto private, ni sawa na kuwambia wamiliki wa hizo shule wazifunge na kama ndo wamejiari kwa njia hiyo wakose ajira; na ni sawa na kuwafukuza kazi walimu na watumishi wengine wanaofanya kazi kwenye hizo shule.
 
Mkuu usikalili matukio jaribu kwenda na wakati.

Sasa hivi wajinga wamepungua japo waoga ni wengi. Utamdanganya nani kuna juhudi huku hamna ajira, biashara zineyumba, mahitaji ya jamii yako juu kama sukari; mafuta ya taa/ kula; sement na bati bei juu. Ndio maana unaona wanasiasa wanahama kuvuta watu lakini watu hao hawapigi kura.
 
Ni swali la kipumbavu kuuliza "kwa nini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi [za Rais]?" Jee ni kweli kwamba hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi za Rais? Kama wewe humuungi mkono, sema wewe humuungi mkono kwa sababu ya ajenda zako binafsi na si kusema kwamba wananchi hawamuungi mkono.
KIMSINGI HAWAPO leo sukari bei juu ,bati,nondo,petrol &dizeli, mafuta ya kula, mbolea vyote bei havishikiki na hizi ni bidhaa ambazo zinamgusa kila mwananchi ss wataanzaje kumshangilia huyo bwana.wafanyakazi wanalia stahiki zao za kisheria zimegeuzwa ni hisani ya mtu mmoja kutoa au kutotoa. Watu hawana maji, elimu mbovu, afya mbovu halafu mtu anatumia mabilion kununua wanasiasaili baadae wamsaidie kusalia madarakani halafu mnatafuta washangiliaji. Kipaumbele cha serikali hii ni kuuwa upinzan ili watawale na kufanya watakavyo.
 
Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.

Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.

Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?

Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?

Maoni yangu:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?
Aungwe mkono kuwa lipi la ajabu ambalo ni geni alilo lifanya ?
 
Hii ni sawa na kuwaambia kuwa ni marufuku kusomesha watoto private, ni sawa na kuwambia wamiliki wa hizo shule wazifunge na kama ndo wamejiari kwa njia hiyo wakose ajira; na ni sawa na kuwafukuza kazi walimu na watumishi wengine wanaofanya kazi kwenye hizo shule.
Na hii ndo sababu hasa inayofanya wananchi wasiunge mkono
 
Utakua umetoka sayari ya kufikirika were.Tz kuna uchaguzi siku hizi au ni kutangaza na kupitisha wagombea wa ccm ..penye unafiki na wanafiki km nyie hata mungu hayupo. Na ndio maana hatusogei kimaendeleo. Tumepigwa upofu coz ni watu wa taifa lenye laana. MNASHANGILIA UPINZANI KUFA LKN FAHAMU NI SHANGWE ZA MUDA TU. ccm watafaya watakavyo nani wa kuwauliza? Watbadilisha na katiba huyo bwana atawale milele na alishasema na alikuwa hatanii. Akishapata bunge la chama kimoja ataliswaga atakavyo. NI MALENGO YA MUDA MREFU, WENYE JICHO LA TATU WANAJUA NI NN LINAFUATA HUKO MBELE! tusubiri!
Kweli mkuu, sifa kubwa kabisa ya kwetu ni unafiki.Na unafiki ni laana kuu! Utatutafuna haswa!
 
Wananchi tuna akili zetu timamu na tumezoea kula kwa jasho tofauti na wanasiasa waliozoea kula kwa ujanja ujanja.
 
Back
Top Bottom