Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 247
Madiwani wanahama vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao ili kuunga mkono juhudi za Rais katika kuleta maendeleo nchini. Hawa pia wanafuatwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kuhamia CCM.
Nimekuwa najiuliza sana na ninaomba tusaidiane majibu.
Kwanini hakuna wananchi wanaounga mkono juhudi hizo?
Je, wananchi hawayaoni anayofanya rais?
Maoni yangu:
Kama kuna sehem kitengo cha propaganda ccm kimefeli ni hapa... kwanini hawawahamishi na wananchi?