Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

Yan mtoa mada umegusa penyewe nataman km wanawake wote wangekuwa na uwezo wa kuifikia jf...wangeelewa wanaume tunataka nn..huu ni ukweli mtupu!!..wanawake badilikeni hasa ile tabia ya nimechoka bhana fanya fasta nisepe zangu hasa akiwa hajatatuliwa shida ya hela...halafu inaboaa eti muda wa mambo..gf/mchumba anaanza na shida zake ooooh mara weaving mara kucha mara ile simu imeharibika mara.....mnaudhi mbadilike tofauti na hapo mmmmmmmh..2016..badilikeni
 
Mkuu hawa wachache walioko humu watayachukua haya,nakuyapeleka kwenye vichen pati vyao.
 
Mkuu wewe ni wakike au kiume?
.
Je nani alizaliwa anajua?,kwa nini wao usipowaridhisha wanakwambia hajaridhika?.

Nani mwenye jukum la kuwafundisha?.

Kazi ya unyago na jando ni nini?,Hujiulizi kwenye vicheni pati wanaenda kufanyaje?.

Hatupo hapa kumkashifu mtu,tupo hapa kuambiana ukweli ili watu wabadilike?.

Samahani mkuu kama mada imekugusa lakini ndio ukweli huo.
Unapoteza muda bure, mwambie huyo huyo uliyemwona kuliko kulaumu humu.
Wafundishe, add value
 
duh, poleni sana kwa mnaokosa uhondo kwenye suala Zima la "relationship" ni vizuri kuwaambia msiishi na wapenzi wenu kama vile dada zenu, mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako, kwa hiyo kuwa huru kumwambia chochote.
 
Unapoteza muda bure, mw,ambie huyo huyo uliyemwona kuliko kulaumu humu.
Wafundishe, add value
Kwa nini useme niliemuona na sio nilio waona?

Umejuaje kama napoteza muda?, na kama ni hivyo wewe una okoa muda?.

Nani kakwambia nalaumu?, na kama nihivyo kwa nini wewe usiache kulaum pia?.

Nimeposema wanawake baadhi umeelewaje wewe?.

Mkuu tafadhali kama unaona mada hii haikufai sio lazima ucomment.

Pole sana.
 
duh, poleni sana kwa mnaokosa uhondo kwenye suala Zima la "relationship" ni vizuri kuwaambia msiishi na wapenzi wenu kama vile dada zenu, mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako, kwa hiyo kuwa huru kumwambia chochote.
duh, poleni sana kwa mnaokosa uhondo kwenye suala Zima la "relationship" ni vizuri kuwaambia msiishi na wapenzi wenu kama vile dada zenu, mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako, kwa hiyo kuwa huru kumwambia chochote.

Mkuu hongera kwa kutoa mchango chanya, wapo ambao hawaambiliki na ambao wanaambilika,kwahiyo atakae sikia na asikie atakae acha na acha.
 
Kwa nini useme niliemuona na sio nilio waona?

Umejuaje kama napoteza muda?, na kama ni hivyo wewe una okoa muda?.

Nani kakwambia nalaumu?, na kama nihivyo kwa nini wewe usiache kulaum pia?.

Nimeposema wanawake baadhi umeelewaje wewe?.

Mkuu tafadhali kama unaona mada hii haikufai sio lazima ucomment.

Pole sana.
Uliowaona.
Pole wape hao hao
 
Uliowaona.
Pole wape hao hao
Nakupa pole wewe ambae unaona kila anae comment humu anapoteza muda.

Inawezekana na wewe upo kwenye hao wanawake baadhi ambao hawajui wanaume wanataka nini,wawapo sita kwa sita.

Pole sana mkuu.
 
Mwanaume ni nani labda?
 
Hiyo number moja ya kutokatikia ukuni eti kama una kibamia akikata kibamia na chenyewe kinatoka. Kazi inakuwa tena sio ku... Bali kurudishia kibamia ndani muda wote.

Tuna shida sisi wanaume.
 
duh, poleni sana kwa mnaokosa uhondo kwenye suala Zima la "relationship" ni vizuri kuwaambia msiishi na wapenzi wenu kama vile dada zenu, mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako, kwa hiyo kuwa huru kumwambia chochote.
Umeongea bonge la point
 
Dont generalize the problems! Kama ulikutana na mabanzi yasiyoweza hata kutwist viuno sio wote!
Utafit wako kama umeufanyia secondary unategemea nini? Ni aina gani za wanawake uliodate ukakuta yote hayo? Mbona hata nyie midume mpo msioweza romance mnarukia tuu kama mbuzi! Hata mkatiwe viuno feni hamu appreciate! Acha wawapege tu bivyo ivyo ila naamini mwanamke kwa mwanaume anayempenda anayafanya yote! Sasa kama wewe kimchepuko na unalilia haya utangoja saaana!
 
Hiyo number moja ya kutokatikia ukuni eti kama una kibamia akikata kibamia na chenyewe kinatoka. Kazi inakuwa tena sio ku... Bali kurudishia kibamia ndani muda wote.

Tuna shida sisi wanaume.
Hiyo number moja ya kutokatikia ukuni eti kama una kibamia akikata kibamia na chenyewe kinatoka. Kazi inakuwa tena sio ku... Bali kurudishia kibamia ndani muda wote.

Tuna shida sisi wanaume.
Mkuu inategemea na huyo mwanamke,wapo pia wanaoona hata nchi nane ni kibamia.
 
Dont generalize the problems! Kama ulikutana na mabanzi yasiyoweza hata kutwist viuno sio wote!
Utafit wako kama umeufanyia secondary unategemea nini? Ni aina gani za wanawake uliodate ukakuta yote hayo? Mbona hata nyie midume mpo msioweza romance mnarukia tuu kama mbuzi! Hata mkatiwe viuno feni hamu appreciate! Acha wawapege tu bivyo ivyo ila naamini mwanamke kwa mwanaume anayempenda anayafanya yote! Sasa kama wewe kimchepuko na unalilia haya utangoja saaana!
Unaelewa maana ya neno "baadhi",nani analia humu?.

Mnapoleta mada zinazugumzia wanaume mnakuwa mnalia?.

Jiwe limetupwa gizani.
 
Back
Top Bottom