Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

alunashadya

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
57
Reaction score
10
Mambo Zenu Wanajf,

Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao?

Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?
 
Mambo Zenu Wanajf,hivi Kwanini Wanajeshi Hawalipi Kodi Katika Mishahara Yao? Naona Wanapewa Upendeleo Mkubwa Hivi Ni Kwanini?

1. Sio kweli,wanalipa kodi kwenye mishahara yao.
2. Pesa ambayo hawalipi kodi ni pesa ya chakula,hiyo haikatwi kodi. Maana pesa hiyo haijumlishi kwenye mshahara.
3. Uwe unafanya utafiti wa kutosha kabla hujakurupuka kuleta madai yako hapa,bora ungeuliza kama huwa hawalipi kodi.
 
Mi nashangaa sana sijui mnapata wap stor hizo wakati mi nimeona salary slip za wanajeshi wanakatwa Kama kawaida tena pesa ndefu tu.
 
Mambo Zenu Wanajf,hivi Kwanini Wanajeshi Hawalipi Kodi Katika Mishahara Yao? Naona Wanapewa Upendeleo Mkubwa Hivi Ni Kwanini?

Upendeleo? Ukisikia nchi imevamia unaweza kupeleka makkalio yako uwanja wa vita wewe?..hizo kazi nyingine waacheni walioamua kuzifanya wala msihoji vitu vidogo kama hivyo vya nauli na makato madogo madogo.zile maiti za wanajeshi wetu waliokufa ktk vita zinamaanisha mengi kaa chini utafakari
 
Kiukweli Allowance haitakiwi kukatwa kodi na inabidi ilipwe separate na mshahara ila makampuni mengi yanaweka allowance pamoja na mshahara then wanakata kama PAYE ni dhuluma sana hii,wewe unanilipa House allowance ya 100,00/= then unailamba kodi na kunipa 68,000/= maana yake ni nini? Hili swala kina Mgaya na TUCTA yenu ni la kuliangalia kwa jicho la tatu!! Otheweise mwajiri kama anataka akulipe allowance ya laki moja basi aongeze iwe laki na 40 hiyo 40 iende kwenye kodi.
 
Hayo makosa yanafanyika idara nyingi tu za serikali. Baadhi ya idara allowance inawekwa pamoja na mshahara,kwa hiyo unajikuta inakatwa kodi. Idara zingine allowance inalipwa peke yake na mshahara. Ni mfumo mbovu wa mishahara nji hii.
 
Kiukweli Allowance haitakiwi kukatwa kodi na inabidi ilipwe separate na mshahara ila makampuni mengi yanaweka allowance pamoja na mshahara then wanakata kama PAYE ni dhuluma sana hii,wewe unanilipa House allowance ya 100,00/= then unailamba kodi na kunipa 68,000/= maana yake ni nini? Hili swala kina Mgaya na TUCTA yenu ni la kuliangalia kwa jicho la tatu!! Otheweise mwajiri kama anataka akulipe allowance ya laki moja basi aongeze iwe laki na 40 hiyo 40 iende kwenye kodi.

Mkuu hapo umenena kweli, maana utakuta mtu anakuunganishia posho zako zote kwenye mshahara matokeo yake unakatwa na kodi isiyohusika. Mfano wafanyakazi wa pale uwanja wa ndege wa kimataifa Dar wanaunganishiwa posho na mshahara kwa pamoja na kodi inakatwa kwa ujumla wake.
 
Wanatufanyia kazi kubwa kama vipi name wewe nenda jeshini

Hakuna mtu au ajira muhimu kuliko nyingine ajira zote ni za umuhimu bila walimu hao wavaa earphone,miwani meusi na kaunda suti wangepata mafunzo wapi? Bila madkatari/manesi watatibiwa wapi? Je nesi/dokta anaweza kufanya kazi sehemu isiyo na usalama? Je hao watalipwa mishahara yao mie mvuja jasho nisipo katwa kodi? So ajira zote zinategemeana hakuna wa muhimu kuliko wenzake! Hizo ni taratibu za nchi yetu walizojiwekea ndio maana mie nayelipwa laki 3 kwa mwezi nalipa kodi kubwa kuliko mfanyabiashara anayeingiza mamilioni mwenye fremu kariakoo!!
 
kwa kweli hawa walinzi wetu hawakutakiwa kulipa kodi hata kwenye mishahara yao,kwani hawa jamaa ni wazalendo no 1.Wameamua kuweka uhai wao rehani kwa ajili ya maisha yetu na ustawi wa Tanzania!.
 
Back
Top Bottom