Wazenji kwao kila kitu ni kitukufu, hata Raisi humuita Mtukufu, na bara walianza kuiga wakawa wanamuita Raisi mwinyi mtukufu, alipoingia Mkapa madarakani kitu cha kwanza akapiga marufuku kuitwa mtukufu!, ndio maana hadi leo kwa bara hutasikia Raisi anaitwa mtukufu, au Muungano mtukufu!.