Kwanini wanahabari hawamtaji Mhe Rais Kikwete kama Professor?

Kwanini wanahabari hawamtaji Mhe Rais Kikwete kama Professor?

Wadau,

Itakumbukwa kuwa Mhe. Rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprofesa na vyuo kadha wa kadha. Jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumu-address kama professor? wameshikilia Dr tu?

Ikumbukwe kuwa na Rais Profesa inatujengea heshima kimataifa..

Ni ulimbukeni kudhani Uprofesa Una hadhi kuliko Urais.

Tanzania Ina maprofessa wangapi, Tanzania imewahi kuwa na Marais 4 tu. Unataka kuniambia nani anaheshimika zaidi Kati ya Prof. Mukandala na Rais Mkapa/Mwinyi?

Mie Kikwete namwita Rais Kikwete, inatosha na ni heshima ya juu kabisa.

Ni hadhi ya pekee ambayo Watanzania wanne tu wameipata!
 
Chuo Kilichompa JK Uprofesa Hakifai Kbs,kifungiwe
 
Kawaida tu hata mbowe hawamu address kama mh. Form six mbowe au mh form six mnyika au mh. Form four sugu...take it eassy man!!

Bila shaka ww ni form 4 failure...au ndo wale wakuungaunga thn unataka kuonekana mjuaji...kina Bulembo ndo wenzako..
 
JK hana Tofauti na mtu alieishia Form Four.. zaidi anamzidi tu kuwa Raisi na kutembea nchi nyingi ila uwezo wa kufikiri nadhani ni sawa tu
 
Bila shaka ww ni form 4 failure...au ndo wale wakuungaunga thn unataka kuonekana mjuaji...kina Bulembo ndo wenzako..

kwan amekosea wapi?
Kwan ni uongo alichokiandika?
Mbowe form six, sugu form four.

Hata bila ya kuambiwa ukiangalia vitendo vya sugu utajua tu kuwa kichwan hakuna elimu. Yaan analeta ule usela wa mtaan hata awapo bungen
 
Wadau,

Itakumbukwa kuwa Mhe. Rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprofesa na vyuo kadha wa kadha. Jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumu-address kama professor? wameshikilia Dr tu?

Ikumbukwe kuwa na Rais Profesa inatujengea heshima kimataifa..

Profesa ndefu kuliko Dr hivo wanna sevu page space.
 
Tunashangaa hata lowassa hawamuiti mh.msanii inabidi tuwaulie kwanini hawawaiti watu kwa vyeo vyao.
 
Back
Top Bottom