Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.kwani kujadili siasa ndio u great thinker?
na watoto wa under 18 ndio wanahusika na mapenzi?
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????
namshangaa, nlikuwa bado kujua mambo ya mapenzi ni ya under 18, baada ya hapo ni fulu kufia nchi...Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.
Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.
Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????
mrisho mpoto alisema tufanye tunachoweza
wewe kama unaweza kuunda chombo cha kwenda mwezini unda, mimi kama naweza kuzaliana niache nizaliane
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.
Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!
We huna mpenzi?