Kwanini wamiliki wa Kiwanda cha Twayford mnaihujumu Serikali ya Rais Magufuli: PART II

NGolo Kante

Member
Feb 28, 2017
80
131
Kampuni hiyo inayotuhumiwa kwa uhujuju uchumi na kuwanyanyasa wafanyakazi wazawa baada ya kubaini kuwa mzigo wao wenye label zenye kuonesha umezalishwa nchini Kenya kujulikana walianza mchakato wa kuhamishia shehena hiyo kwenye moja ya maghala yao yaliyotok Shekilango Jijini Dar es Salaam

Audha, shehena nyingine ilikuwa ikihamishiwa nchi jirani ya Kenya ulikamatwa Mkoani Arusha Siku ya Jumatatu tarehe 18 November 2019 majira as Sara 2 asubuhi

Uongoz wa Kampuni hiyo chini ya Kijana mmoja mwenye asili ya China anayefahamika kwa jina moja la Bruce uliamua kumuita Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kiwandani kwa ili kujisafisha na walialika Wanahabari kutoka vyombo kadhaa vya hapa nyumbani

Kampuni hii ya Keda, mwanzo iliitwa Twayford baada ya kuona mambo hayaendi sawa kwa upande wao wakabadilishana jina juu kwa juu na kupewa jina la Keda ambapo mwekezaji huyu anatumia Wafanyakazi kutoka nchini China huku wakiwa na vibali vya kazi vyenye walakini ambavyo inadaiwa wamesaidiwa kupewa na ndugu MUSA MSUMARI(Cheo na ofisi yake nitawaletea soon)


Link ya story ya kwanza (Part I):

 
Back
Top Bottom