katika moja wapo ya mafundisho ya Uislamu ni kua usilijengee kaburi kwaio kwa mantiki hii ikipita miaka na miaka mnaweza kuja kuzika sehemu ile ile kwakua yule atakua kashaoza na kashakua mchanga
ni kawaida huko kwa wazungu wenu wanaochoma 60%
huku kwetu sio kawaida, hatuchomi hata 1%
kitu hakiwezi kuwa kawaida kwa sababu tu mzungu anakifanya
acha ulimbukeni
ni kawaida huko kwa wazungu wenu wanaochoma 60%
huku kwetu sio kawaida, hatuchomi hata 1%
kitu hakiwezi kuwa kawaida kwa sababu tu mzungu anakifanya
acha ulimbukeni
Kwahiyo mpaka we uidhinishe ndio iwe kawaida??
Mkuu kuna kitu kinaitwa the law of correspondence ama unaweza kuiita the law of mirror, isome inakugusa sana hasa hapo kwenye huo mstari wa mwisho.