Kwanini wamchome moto?

Taarifa zinasema Askofu Tutu atachomwa na mabaki yake ndio yatazikwa.
Hii ni Mila ua ndio dini inavyosema?
Naomba kuelimishwa
Ahsante
View attachment 2065387
Ni namna tu ya kuhifadhi vizuri mwili wake, uzuri wa kuchoma moto mtu haozi
Europe naona kama vile 60% wanachoma moto, swala hili limekuwa bado geni kwa waafrika ila ni kawaida tu wala kitendo hicho hakihusiani na itkadi za kidini
 
au uku tz tuwe tunaikatakata maiti vipande vidogo vidogo then tunaweka kwny mfuko tunafukia hii itasaidia sana kutunza maeneo yetu,,

maana itakuwa inatumia sehem ndogo ya ardhi
 
Ujazo wake utabaki uleule.Dawa ni kiberiti tu.Mungu pata nini...!?Mungu pata jivu tu!
 
Ni namna tu ya kuhifadhi vizuri mwili wake, uzuri wa kuchoma moto mtu haozi
Europe naona kama vile 60% wanachoma moto, swala hili limekuwa bado geni kwa waafrika ila ni kawaida tu wala kitendo hicho hakihusiani na itkadi za kidini
Mimi sikubaliani nayo kabisa.
 
au uku tz tuwe tunaikatakata maiti vipande vidogo vidogo then tunaweka kwny mfuko tunafukia hii itasaidia sana kutunza maeneo yetu,,

maana itakuwa inatumia sehem ndogo ya ardhi
Acha kutuletea mambo ya ajabu.
 
Unamzungumzia D Tutu au Charles Njonjo ? Njonjo ndio jana kachomwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…