Kwanini Wamarekani watamchagua Tena Trump, Kwanini

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Maoni ya Wamarekani wengi, wanasema watamchagua tena Rais Donald Trup

Wamarekani wanasema pamoja na vituko vyake, Trump ameboresha uchumi na ajira zimeongezeka

When you have something in the pocket, no matter what

African people, watch out,...Mnamchagua tena Rais kwa mafanikio yapi?
 
Trump ni Jembe sana. Mimi namkubali mbaya na ninguwa raia wa America ningemchagua tena
 
Maoni ya Wamarekani wengi, wanasema watamchagua tena Rais Donald Trup

Wamarekani wanasema pamoja na vituko vyake, Trump ameboresha uchumi na ajira zimeongezeka

When you have something in the pocket, no matter what

African people, watch out,...Mnamchagua tena Rais kwa mafanikio yapi?
ananunua wabunge vizuri
 
Kweli atashinda maana karata ya ushindi ni North Korea
 
Back
Top Bottom