GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Imegundulika kuwa zile Shule au Taasisi za Elimu ya juu ambazo Walimu wake wengi wa Kike hupendelea sana kuvaa ama Kimini au Nguo za kubana kabisa wawapo darasani wakiwa Wanafundisha 99% ya Wanafunzi wa Kiume huyafaulu mno kama siyo sana Masomo yao kuliko yale masomo ambayo huwa yanafundishwa na Walimu wa Kiume.
Je Wadau wa JF hapa kuna ukweli wowote? Na je hii hali inatokana na nini hasa Kisaikolojia?
Naomba kuwasilisha.
Je Wadau wa JF hapa kuna ukweli wowote? Na je hii hali inatokana na nini hasa Kisaikolojia?
Naomba kuwasilisha.