zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Suala la kuwapa walimu nafasi ya kusafiri bure ni jambo jema sana, kutokana na nafasi zao katika ustawi wa nchi kielimu.
Linalonishangaza; walimu ni watumishi wa umma na treni ni usafiri wa umma.
Kwanini walimu hawasafiri bure kwenye treni daladala?Iweje kwenye daladala imefanikiwa huku ishindikane wakati treni ipo chini ya serikali?
Mwenye majibu anisaidie Tafadhali.