Kwanini walimu ni too much?

Kwanini walimu ni too much?

abuunadya

Member
Joined
Apr 20, 2019
Posts
54
Reaction score
76
Habari wadau wote wa JF

Najiuliza ili swali bado sipati jibu katika pitapita zangu kwenye kuitafta riziki nakutana Sana na watumishi wengi wa serikali kama madaktar, askari Mafsa ugani, manes nk

Katika uchunguzi wangu wote wana kero mbalimbali but hawa'' maticha zetu" naona ni too much yani daily utaskia kamshahara kadogo nmechoka na hii lazi mara kazi hii ni ngumu sana na mengine mengi.

Ivi ni kweli serikali inawalipa mshahara mdogo kuliko watumishi wengine au nni tatizo kwa hawa walimu?
 
Nakujibu kama ifuatavyo
kazi zingine zina posho mwalimu hana posho.
Mwalimu anafanya kazo zifuatavyo mtoto akimuibia mwenzie darasani
1.anakua polisi kutafuta alieiba
2.anakua hakimu anatoa hukumu kwa alieiba
3.anakua askari magereza,anasimamia adhabu ya mwanafunzi mwizi
4.anakua afisa ustawi wa jamii,kutoa nasaha kwa alieibiwa na aliemuibia.
Kazi zote hizo watu wake wapo na wanalipwa ila yeye anazifanya.
Mwalimu yake moja tu kutoa elimu,wakisema waongezewe hela mnawakebeho,je nani anaweza fanya kazi zote hizo bila ya malipo?
 
Hakuna mtu yeyote hapo umuulize..!?

Hili mbona la kitoto sana
 
Hao wote wamepata cheo na kazi kutokana na walimu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
If you willing to be a teacher you will follow all ignorance memo.
 
Habari wadau wote wa JF

Najiuliza ili swali bado sipati jibu katika pitapita zangu kwenye kuitafta riziki nakutana Sana na watumishi wengi wa serikali kama madaktar, askari Mafsa ugani, manes nk

Katika uchunguzi wangu wote wana kero mbalimbali but hawa'' maticha zetu" naona ni too much yani daily utaskia kamshahara kadogo nmechoka na hii lazi mara kazi hii ni ngumu sana na mengine mengi.

Ivi ni kweli serikali inawalipa mshahara mdogo kuliko watumishi wengine au nni tatizo kwa hawa walimu?
Kama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.

Kazi ya uwalimu ni nzuri kwa wanawake but kwa wanaume halafu serikalini utakuwa na maisha ya kawaida sana.

Wanafunzi wako baada ya miaka kadhaa unawaona mtaani wanadrive wewe bado unhangaika kugombania daladala hadi unastaafu.

Ukiwa mwalimu serikalini ujue na kujiongeza, bila hivyo unatengwa hata na ndugu
 
Mwalimu hana posho wala kupiga dili hamna kitu anaeza toa hata shule cha magendo auze apige mshindo,,
Mf:dokta anaeza iba ata dawa akafungua maduka ya dawa na life likasonga
 
Ila si wameshaambiwa Ualimu ni kazi ya Kujitolea ama ni kazi ya Wito,kwanini wanalalamika
 
Mwalimu hana posho wala kupiga dili hamna kitu anaeza toa hata shule cha magendo auze apige mshindo,,
Mf:dokta anaeza iba ata dawa akafungua maduka ya dawa na life likasonga
Hapo nakataa kwakweli,Tuisheni mbona wanatulazimisha kwa watoto zetu kila siku
 
Hapo unasema kwa mazingira ya mijini je vijijini??
Na twisheni sio biashara izo cjui mia mia zina mtoaje mtu kama c kupata nauli tu hapo
 
Mkuu apo umenena kwakweli kwa nnayoyaona kwa hawa walimu wetu wale wanaonihusu stopnda wasome ualimu

ila na serkali yenyewe naisi inawaona pia sio wa muhimu sana

Nliskia juzi kati apa bungeni wanasema walimu wamezuiliwa kuhama mpaka kwa vibali maalum eti sababu zao za kuhama ni za uongo ssa Wale ambao wenza wao wako mbali ci balaa na cjui kwann ni kwa walimu tu
Kama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.

Kazi ya uwalimu ni nzuri kwa wanawake but kwa wanaume halafu serikalini utakuwa na maisha ya kawaida sana.

Wanafunzi wako baada ya miaka kadhaa unawaona mtaani wanadrive wewe bado unhangaika kugombania daladala hadi unastaafu.

Ukiwa mwalimu serikalini ujue na kujiongeza, bila hivyo unatengwa hata na ndugu
 
Nadhani shida ni kuwa kazi yake haina mapato ya ziada, hata anaowahudumia huwa hawatoi mrejesho kama zilivyo kazi nyingine, Daktari akikuhudumia vyema unafungua wallet kumshukuru, na kwingine, shukrani ya mwalimu ni kutungiwa jina la ziada na wanafunzi, faida nyingine hawazeeki haraka.
 
Kama una watoto au wadogo zako usikubali wasomee uwalimu hata kama ndio option ya mwisho. Bora waende hata VETA wanaweza wakatoka.

Kazi ya uwalimu ni nzuri kwa wanawake but kwa wanaume halafu serikalini utakuwa na maisha ya kawaida sana.

Wanafunzi wako baada ya miaka kadhaa unawaona mtaani wanadrive wewe bado unhangaika kugombania daladala hadi unastaafu.

Ukiwa mwalimu serikalini ujue na kujiongeza, bila hivyo unatengwa hata na ndugu
Mheshimu mwalimu
 
Back
Top Bottom