Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,027
- 15,893
- Thread starter
- #21
Tamasha lenu lini?
Tamasha lenu lini?
Nakusmulia ninalolijua kaka hao jamaa wanapiga wewe acha tu tena kwa wanaume wa Dar Kama Mimi na wewe tusiwaletee mchezo hawakawii kutuua kabisaHawana cha kuwafanya maana wanaogopa kudhalaurika kuanzia kwa wanafunz hadi walimu wenzio
Swez kua na mahusiano na mwanamke aliesoma tena ualimu ndo kabsaHuyu atakuwa ametelekezwa na mwalimu sasa amekuwa na hasira nao sanaaa š¤£š¤£
Sina chuki na walimu mm mwenyw mwalimu
Mkuu mbona mimi sio wa imani ya uko unako ni peleka Acha udini mkuu jitahidi uwe focused.Mwalimu wa madrasa covax hii mada haikuhusu shekhee wangu
Hapana ni mwalimu mmNikisoma btn the Lines.
Ww sio Mwalimu.
Bali unamjua mwalim mmoja ambaye yuko huku na unamchukia kwahiyo unamfikishia ujumbe.
Kuwa yeye ni mshamba wa wanawake. Hana hela na akiwa na kesi hata ya mill 3 atafungwa na mke wake anachapwa nje ššššš.
Kama unajua ID yake mtag kabisa umalizane nae. La sivyo bado utanshushia tu nyuzi za kumnanga.
Unataka mm nifocus wakat wewe umekuja kwa gia ya kejeliMkuu mbona mimi sio wa imani ya uko unako ni peleka Acha udini mkuu jitahidi uwe focused.
ššššWewe unawasema walimu wa miaka hiyo sio hawa wa leo waliopita JKT kaka .
Usiwajaribu wanapiga mpaka unaweza kuomba maji ya kunywa ,jichanganye umtongoze mkewe ajue ndiyo utajua ni walimu au ni maticha
Hapana ni mwalimu mm
Mm nawakumbusha tu maana wamejisahau sanaOkay. Bas mtag huyo mwalim mwenzako unayetaka ujumbe umfikiešššš
maalim covax, umeandika sana mpaka ukachoka mjuba, mwisho ukaonekani ni mdini, muislam kindakindaki mfia diniAcha kua na chuki za Dini mkuu utapata stress hiyo Imani sio ya mama ako au Baba yako, tena mda sio mrefu ntakuletea research xingine za theological ziko kama 200, ziko tayari kwa discussions.
Mkuu don't judge a book out of its cover.maalim covax, umeandika sana mpaka ukachoka mjuba, mwisho ukaonekani ni mdini, muislam kindakindaki mfia dini
Tatzo utak kuelewa mada unachangia kama kuku alokatwa kichwa na hili ndo tatzo la watanzania, hapo nimesema katika wafanyakazi wa serikali walimu ndo wanachapiwa sana kuliko kada yeyote ile, hapo sijasema kama wengine hawachapiwi bali nimeangalia rate ya kuchapiwaWakurugenzi wenyewe tu wanachapiwa sembuse walimu? Kama una mke malaya utachapiwa tu
Na wewe mwanaume wa kwanza kukutoa nywinywinywi alikuwa Mwalimu wako wa Mathe ?Wakuu habar za asubuhi
Kuna karesearch nimekufanya kwa kuzingatia mambo fulan fulan nimekuja kugundua asilimia karibia 70 ya wafanyakazi wa serikali wanaongoza kwa kuchapiwa wake zao ni walimu.
Pia asilimia 90+ ya wafanyakazi wa serikali wanaongoza kwa usimp ni walimu.
Yani wao kugongewa wake zao na boda boda, wauza chips na wakopesha viombo ( waha) na wakopesha pesa ( kausha damu) limekua jambo la kawaida sana.
Imefika wakat sasa kila mtu mtaani akijue yule ni mke wa mwalimu hata kama anasura ya Babu lkn wahuni watataka wamkamie hadi wamle hivohvo bila huruma yeyote.
Ukija Kwenye usimp ndo usiseme, karibia nyuzi nying humu za wanao lilia kuhusu mapenz ni walimu ( sina uhakika sana)
Hasira zao sasa ni kukamia vibinti vya form 1 hadi 4, na wanawakamia Kwelkwel, mwanafunz akiwa chuma haswa lazma walimu hata watano wapite nae.
Kwann hali hii inawakuta hii KADA?