Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,300
- 4,003
Mkuu hawa jamaa wanafanya kazi na makatibu wa CWT kila wilaya, so hata ukiwa Bubiki huko utapata huduma.Kwani huko peramiho ungonini NDAANI NDANI kabisa Usweken Kuna tawi la benki ya walimu
Mkuu hawa jamaa wanafanya kazi na makatibu wa CWT kila wilaya, so hata ukiwa Bubiki huko utapata huduma.Kwani huko peramiho ungonini NDAANI NDANI kabisa Usweken Kuna tawi la benki ya walimu
Watu wengine sijui wakoje! Unamohoji mtu mmoja, unachukulia kuwa ni wote.Hapahapa Dar tu wana tawi moja, mikoa mingine je!
Jibu kumbe unalo shemeji yanguHakuna mkuuu
Hata kule kwetu Murutunguru katikati ya kisiwa Cha Ukerewe?Mkuu hawa jamaa wanafanya kazi na makatibu wa CWT kila wilaya, so hata ukiwa Bubiki huko utapata huduma.
Hata aibu huoni! Walimu wametapakaa nchi nzima! Mna ofisi za CWT kila Mkoa, lakini cha kushangaza benki ina matawi yasiyozidi manne tu Tanzania nzima!Nîkupe Siri tu, Mwalimu Commercial Bank unafanya vizuri sana kwasasa, kutokana na kuondoa makandokando ya unyonyaji kwa mnufaikaji/ Mwalimu hasa processing fee. Sasa hivi walimu wengi wameuza mikopo na kukopa kwenye benki yao kwa siku 2 au 3 unapata mkopo.
Na ukitaka kuhamisha mshahara riba inashuka kwa asilimia moja,pia kuna mawakala wengi nchini.
Mpaka wapo chakali.Na mwenda zake ndo aliwachakaza kabisaWaacheni walimu wamenyanyaswa vya kutosha
Atakuwa katibu muenezi na propaganda CWT 😂We utakua CWT si bure