Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.
Ikiwa kazi yako ni kucheza na watoto automatically unafanya mazoezi!
Harafu walimu wengi ni watu wa kipato cha chini (kati kwenda chini), hivyo utakuta misosi na starehe zinazozeesha haraka hawakutani nazo sana.
Habari wanajukwaa,
Kuna ka usemi nilikua nakasikia tangu nikiwa shule O-level ila nilikua siamini eti walimu hawazeeki haraka. Kwa kweli nimekuja kushuhudia na kuchunguza juu ya hilo na kuona ni kweli kwa 100% maana juzi kama bahati nimekuta na mwalimu wangu ambaye alinifundisha vidudu(chekechea) sikuweza kuamini kwani haikunipa tabu kumtambua nilivyomuona mara moja niliweza kumfahamu.
Kiukweli yupo vilevile na bado anafundsha na ameweza kufungua center yake mwenyewe sio huyo tu na wengine wengi kuanzia primary mpaka secondary sijajua kiiman kwamba mwenyezi Mungu amewabarki ama vipi au niikwanini inakuwa hivyo.
NAWASILISHA
Hahaha mkuu m naona wana mziki wana ma sttess kibao maana kila siku mtu unawza namna gani utawafurahisha mashabiki na usiombe umetoa nyimbo alfu watu wasiipende ndo kabisa stress kibao n unakuta n gharama ulizotumia ni majangaKwa Mtazamo wangu Wanamuziki ndiyo hawazeeki mapema kutokana na kuwa na furaha sana katika kazi yao ya muziki/burudani. Hawana stress
Juzi tu nimemwona mwanamuziki mkongwe mzee Zoro ametupia pensi kama sharo wa umri wa miaka 30 hivi.
ukweli ni kuwa wakati huo ukiwa mdogo wao walikuwa wadogo pia ila kwa upeo wa wakati ule uliwaona wakubwa sana
Kumbe starehe zinazeesha mapema kuliko maisha magumu? Mbona kama hii kitu ina-contradict aisee?Ikiwa kazi yako ni kucheza na watoto automatically unafanya mazoezi!
Harafu walimu wengi ni watu wa kipato cha chini (kati kwenda chini), hivyo utakuta misosi na starehe zinazozeesha haraka hawakutani nazo sana.