Weee kweli KanyigoMnanikumbusha uchafu na uozo wa JK.
kwa nini asigombee 2015 inawezekana labda mwenyewe akatae! na wasipo mteua basi tujiandae kuona taifa hili likipasuka vipande viwili kama ilivyotokea kwa sudani kaskazini na kusuni.katu wazanzibar hawatakubali safari ijayo rais atoke bara tena.kama ulifuatilia mjadala wa katiba mpiya uliofanyika zanziba hili lilikuwa wazi kabisa
when debating over ccm,nyerere is always an exceptional....after all alishakuwa rais na uzalendo wake ulionekanaWhat about Nyerere??