Kwanini Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe pamoja na 'Kukuru Kakara' zao zote Marais wanasita Kuwapandisha vyeo, ila kwa wengine wanapanda fasta?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane Ikulu za Magogoni na Chamwino.

Kuna kitu Kimoja tu Kinachowagharimu.
 
U-much know sana ndo kinawagarimu, kujimwambafai, kuongea saana bila kuchunga midomo na kauli zao.

Gondwe alishindwa hata kum-manage DED wake Mwakabibi aliyetumbuliwa hapa juzi kati.

Ni muda muafaka wa kujirekebisha, otherwise huku nje kuna watu bora zaidi mara 1000 ya wao kuweza kuongoza hizo wilaya.

Asante.
 
Oyaa Tuliza matako wewe!! Tuliza matako wewe!! Nimeisikia sauti inanijia masikion.
 
Hao hawana lawama, na ni watu wenye maadili.
Kasesera majuzi hata alipoongea kihuni na wahuni wa bodaboda ili wamwelewe, aliomba radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…