Kwanini Wakurd?

Kwanini Wakurd?

Wewe unatatizo la kufsiri lugha ya kiarabu kwa muundo wa sisisi kuja kiswahili,jifunze lugha ili uwe mkweli,hapa si sehemu ya kudhihirisha tabia ya uongo

mengele pata muda mzuri kupitia mada ili unapokuja na hoja au malalamiko yawe yanaeleweka. Umerukia mada. Aliyesema kuwa Qurani inasema hakuna Mungu amejifanya hafahamu kiswahili kama anafahamu angeelewa kuwa aya inasema kuwa Mungu wa kweli ni Allah pekee.

Nimempa aya za biblia pia ambazo ukizitoa katika uhalisia(context) zinatafsirika kuwa biblia inasema kuwa hakuna Mungu.
Kama utalielewa hili basi umeongeza maarifa.
 
We bwana wee umenifanya hadi nifungue biblia, maandiko hajasema kama koran ilivosema, two diff meanings, there's no God like u in heaven above or on earth below, koran inasema hakuna Mungu ila Allah, maana mbili tofauti.

Kama umefahamu aya za biblia, kwa nini umeshindwa kufahamu aya ya Qurani?

Utofauti uliuona wewe ni upi? Tofauti ulizoziona wewe ni zipi?

https://www.jamiiforums.com/international-forum/733138-kwanini-wakurd-3.html#post10787976

Allah ni nini/ nani?
 
Wewe unatatizo la kufsiri lugha ya kiarabu kwa muundo wa sisisi kuja kiswahili,jifunze lugha ili uwe mkweli,hapa si sehemu ya kudhihirisha tabia ya uongo

Inawezekana ni mimi au wewe mwenye tatizo.
Tatizo lako wewe ni lipi? Kuna kitu ambacho hujakielewa katika niliyoandika? Uliza swali ili upate faida. Au omba ufafanuzi.

Uongo upi huo uliuona wewe katika maandishi yangu?

Nisaidie kunionesha huo uongo niliouandika (ninukuu) ili nikusaidie kuelewa. Tutaelewana tu, kama unataka kuelewa!
 
Pia aliweka wazi kuwa Mungu sio baba yake pekee!

Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'"

Yohana 20:17[SUP]17 [/SUP]Yesu akamwambia, "Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu."



Mlaleo unamwabudu Mungu Yupi?

Je unaamini kuwa Yesu ni Mungu? Au unamwabudu Mungu wa Yesu?

YAHWEH Kwa Wote
 
Hawa watu wameshaibadili mada kuwa ya kidini,hivi mnashindwaje kujadili mada bila kuhusisha udini?
 
BzPkwArCIAAAup0.jpg
.
Kurdish female fighter ‘killed herself’ to avoid being #ISIShostage ara.tv/ja52r pic.twitter.com/3DLzDnXTvK
6:22 a.m. Mon, Oct 6.
 
BzOgZ-cIAAA4EFF.jpg:small
.
kurd women killed defending kobane left 2 kids.
 
Abrahamu,baba wa Isaka alitoka ukurd
Yule hakua mkurd kwani wakurd wako kaskazini mwa irag.abraham alitokea ur ya kaldayo ambayo inapatikana central mwa irag ya leo.
 
Yule hakua mkurd kwani wakurd wako kaskazini mwa irag.abraham alitokea ur ya kaldayo ambayo inapatikana central mwa irag ya leo.

Usifanye haraka kutoa majibu.nenda kwenye gugo(Abraham Jews Kurd)
 
Back
Top Bottom