Kwanini Wakurd?

Kwanini Wakurd?

La Ilaha illallah Mohamed rasulullah yaani Hakuna Mungu ila Allah na Mwamedi ndie mesenja.. Ndio uislam unavyoamini Hakuna Mungu... nadhani umenipata...
No maelezo hayo yanamaanisha hakuna mungu mwingine ila allah. Au allah pekee ndiye mungu.

Sawasawa?
 
Allah si ndio mungu au? tusipindishe maandiko kwa sababu tu ya kuvutia ngozi kwako

Allah si Mungu na wala Maneno hayapindishwi... ndio yalivyoandikwa kwenye Koran haswa... There is no God But Allah and Mohammed is a Messenger

[h=3]La Ilaha IllAllah Muhammadur Rasulullah[/h]
 
No maelezo hayo yanamaanisha hakuna mungu mwingine ila allah. Au allah pekee ndiye mungu.

Sawasawa?
Huwezi Shindana na Koran..

Koran inasema Hakuna Mungu iweje wewe upingane nayo na huyo Allah hataki kuitwa Mungu.. anajua aliyemuumba sababu... Kawaulize Yazids walioko huko Iraq wanajua hadi alipotokea na walimkataa kitambo
 
Hivi wewe kwani hujui Yesu alikuwa ni Nani? Jina la Yesu limekuja kuja kutokana na Tafsiri mbali mbali za lugha ya watu wazitumiazo...

Yesu ndie YAH-SHUA jina likiwa na maana ya Mungu pamoja nanyi kama nabii Isaya wa wakati kabla ya Yesu kuzaliwa alivyotabiri. YAH-SHUA alikuwa akimuomba YAH-WEH Mungu wa Ibrahim,Yakobo,Isaka Mussa na Waislael ambaye ndio anajulikana kama ndio Mungu Muumba vyote.

Yesu aliupinda mgongo na kuweka kipaji cha uso ardhini akimuomba Mungu wa YAH-SHUA, Ibrahim na Mussa?
YAH-SHUA nae ana Mungu wake?

Niwekee sawa hili.
 
Huwezi Shindana na Koran..

Koran inasema Hakuna Mungu iweje wewe upingane nayo na huyo Allah hataki kuitwa Mungu.. anajua aliyemuumba sababu... Kawaulize Yazids walioko huko Iraq wanajua hadi alipotokea na walimkataa kitambo

Deuteronomy 32:39 inasemaje?
 
Allah si Mungu na wala Maneno hayapindishwi... ndio yalivyoandikwa kwenye Koran haswa... There is no God But Allah and Mohammed is a Messenger

La Ilaha IllAllah Muhammadur Rasulullah
there is no God.. 1 King 8:23, see also 2 Chronicles 6:14, Isaiah 45:5,
 
Yesu aliupinda mgongo na kuweka kipaji cha uso ardhini akimuomba Mungu wa YAH-SHUA, Ibrahim na Mussa?
YAH-SHUA nae ana Mungu wake?

Niwekee sawa hili.
Ndio alimuita Baba yake.. ambaye ni YAH-WEH
 
Rudini kwenye mada nyie wafia dini....nyambaffff.....
 
Mada ilikuwa nzuri... "kwa nini waKurd"..
Ila naona wapuuuz wachache mmebadili mada ya kuifanya kuwa ya kidini..
 
Ndio alimuita Baba yake.. ambaye ni YAH-WEH

Pia aliweka wazi kuwa Mungu sio baba yake pekee!

Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'"

Yohana 20:17[SUP]17 [/SUP]Yesu akamwambia, “Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”

Mlaleo unamwabudu Mungu Yupi?

Je unaamini kuwa Yesu ni Mungu? Au unamwabudu Mungu wa Yesu?
 
Nimekuwa nikifuatilia siasa za kimataifa, nimeona huko mashariti ya Kati Wakurdi wamekuwa waanga wa Vita, waarab huwa wanawalenga kuwaua. Wakurdi ni waislam lakini kihistoria wamekuwa wakiuawa, hata enzi enzi za Sadam waliuawa. Baada ya kuona wamekuwa wakionewa, sasa wamehamua kuunda jeshi lao, pia kuunda nchi yao ndani ya nchi. Kwanini wanaonewa hivyo, kosa lao nini?

Mada nzuri sana hii Gambamala.

Hata mimi huwa najiuliza sana juu ya hawa jamaa. Ni watu wa movements sana popote walipo, hata wawe UK ama US ama Australia ni lazima utawakuta na associations zao za kiharakati kuhusu jamii yao. Kwangu mimi hawatofautiani sana na jews pamoja na catalans. Hawa wote focus yao kubwa ni mataifa kwa ajili ya jamii zao. Jews wamepata lakini hawa wengine bado. Ndiyo maana wakurdi katika nchi zote ambamo jamii yao ipo kwa wingi ni harakati tu za kisiasa, kijamii hata kijeshi. Wao wanahisi kuwa wanakandamizwa, sina hakika sana juu ya hilo ama tu ni inferiority complex ndani yao.

Kule Uturuki kuna PKK na kiongozi wao Abdullah Ocalan alisumbua sana kabla ya kutiwa rupango, pale Iran wana KDPI nayo ni moto. Pia wana harakati kubwa sana Syria na Iraq hadi miaka ile ya mwanzo ya 1990's Saddam Hussein akawafanyia umafia mkubwa katika kuzima up-rising yao. Pia ni jamii yenye ushawishi sana katika siasa za kimataifa hasa ndani ya mataifa makubwa ya ulaya na america ndiyo maana mara nyingi wanapoguswa intervention huwa kubwa. Ni harakati zao hizi ambazo zimepelekea wao kijijengea uadui mkubwa na jamii zingine papo hapo kujitengenezea marafiki wanaowaunga mkono.
 
Last edited by a moderator:

Bora yako ndugu umekuja na hoja juu ya mada. Ila wengine wamenzisha Allah mara Yesu mara nani!! Hizi dini za wazungu zinatutoa hata uwezo wa kujitambua.

Kuna tatizo la kutumika kwa wakurdi kwa miaka mingi. Ndio maana hata Iraq baada ya kuondolewa madarakani hao watu hawakupewa madaraka na Marekani. Ila pia wao ni watu wasiotaka kupitia njia za kisiasa kufikia malengo yao. wanaamini sana katika movements za nguvu na kujitenga.

Sidhani kama watafanikiwa kwakuwa hawako nchi moja. Wametawanyika katika nchi zaidi ya tatu.
 
We bwana wee umenifanya hadi nifungue biblia, maandiko hajasema kama koran ilivosema, two diff meanings, there's no God like u in heaven above or on earth below, koran inasema hakuna Mungu ila Allah, maana mbili tofauti.
 
Wakurdi si Waarabu ndio Maana wanabaguliwa sana...na walibaki nyuma kitawala na ni sababu walicheleweshwa na watawala wengi wa kiislam... na wao hawakuwa Waislam ila walilazimishwa tu kuufuata...

Pia Uelewe Waarabu ni kabila la kibaguzi sana linataka ufuate watakayo wao tu.... Hata Kusali lazima Upindishe Mgongo... na uwe umetawadha sijui kuna mkaguzi wao humo misikitini!

sehemu zote watu wamepokea dini ya waarabu kwa kulazimishwaa
 
We bwana wee umenifanya hadi nifungue biblia, maandiko hajasema kama koran ilivosema, two diff meanings, there's no God like u in heaven above or on earth below, koran inasema hakuna Mungu ila Allah, maana mbili tofauti.
So there is other Gods but they are not like the one it is talked about.?
it means there others but they differ.
the same as saying,there IS NO MAN LIKE YOU ON EARTH OR HEAVEN.which means there are other men but they are not the same.
actually bible talk about many gods,including baal,tarmuz etc.
 
Psalms 95:3 For the LORD is a great God, and a great King above all gods
 
sehemu zote watu wamepokea dini ya waarabu kwa kulazimishwaa

Watu wote duniani wanachembe za ubaguzi,ila kwakua umelete jambo hili kidini,sasa tazama haya: Sio kila mwarabu ni mwislamu.Huko Ujerumani,Itali na Hispania ni ngome za kikristu cha ajabu wachezaji mpira ambao ni waafrika wakifunga hufafnanishwa na manyani,je ndio ukiristu..Israel walianzisha sera ya ubaguzi kuwabagua wapalestina inaitwa Zeonism,makaburu(Christian) Afrika ya kusini walianzisha sheria ya kubagua waafrika inaitwa Apertheid. Uislam ni msafi kufiko maji ya kilimanjaro.Na unapinga ubaguzi stahili yoyote rejea Qr Tumewaumba ktk makabila tofauti rangi tofauti ilimpate kujuana basi mbora wenu mbele ya M/mung ni yule mchamungu'
 
there is no God.. 1 King 8:23, see also 2 Chronicles 6:14, Isaiah 45:5,

Wewe unatatizo la kufsiri lugha ya kiarabu kwa muundo wa sisisi kuja kiswahili,jifunze lugha ili uwe mkweli,hapa si sehemu ya kudhihirisha tabia ya uongo
 
Back
Top Bottom