Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?

Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.

Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:

1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)

Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.

2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)

Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.

3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)

Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.

4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)

Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)

Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”

Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.

Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
 
5. Kwa kumkataa Yesu, Waisraeli walitufungulia sisi Mataifa mlango wa Wokovu

Ni jambo la kustaajabisha lakini ndivyo ilivyo: Waisraeli walipomkataa Yesu kama Masihi, Mungu aligeuza tukio hilo kuwa fursa ya wokovu kwa watu wa mataifa. Kwa kutokuamini kwao, injili ilielekezwa kwa Mataifa ili wote wanaotaka wamwamini Kristo wapate uzima wa milele.

Mtume Paulo aliandika wazi:
Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu..”
(Warumi 11:11)

Mungu, kwa hekima yake kuu, alitumia kosa la Israeli kama njia ya kuifikia dunia nzima kwa injili ya neema. Hii haimaanishi kuwa Israeli wameachwa, bali kwamba kipindi cha neema kwa Mataifa kinatumiwa kuwatayarisha na wao wamrudie Yesu.

Kwa hiyo, Wakristo tuna sababu za kutosha za kuwafurahia Waisraeli. Tunapaswa kuwashukuru kwa sababu kupitia wao, wokovu ulitufikia na sisi. Tuendelee kuwapenda na kuwaombea, tukijua kuwa neema ile tuliyopewa itawarudia na wao, soon.
 
Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
 
Mwanangu umeongea pointi cha kuongezea hawa watu tumewapa Bandari zote za Tanzania, Miradi wa bandari ya bagamoyo, Sehemu ya ardhi ya Serengeti, Wanyama wa Serengeti. Hivi vyote tumewapa wakati wao hawajawahi kujenga shule,hospitali wala chuo katika hili nchi. Na cha kuongezea toka tupate uhuru hawajawahi kuchangia bajeti ya serikali yetu.
 
5. Kwa kumkataa Yesu, Waisraeli walitufungulia sisi Mataifa mlango wa Wokovu

Ni jambo la kustaajabisha lakini ndivyo ilivyo: Waisraeli walipomkataa Yesu kama Masihi, Mungu aligeuza tukio hilo kuwa fursa ya wokovu kwa watu wa mataifa. Kwa kutokuamini kwao, injili ilielekezwa kwa Mataifa ili wote wanaotaka wamwamini Kristo wapate uzima wa milele.

Mtume Paulo aliandika wazi:
Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu..”
(Warumi 11:11)

Mungu, kwa hekima yake kuu, alitumia kosa la Israeli kama njia ya kuifikia dunia nzima kwa injili ya neema. Hii haimaanishi kuwa Israeli wameachwa, bali kwamba kipindi cha neema kwa Mataifa kinatumiwa kuwatayarisha na wao wamrudie Yesu.

Kwa hiyo, Wakristo tuna sababu za kutosha za kuwafurahia Waisraeli. Tunapaswa kuwashukuru kwa sababu kupitia wao, wokovu ulitufikia na sisi. Tuendelee kuwapenda na kuwaombea, tukijua kuwa neema ile tuliyopewa itawarudia na wao, soon.
Lakini MUNGU si muweza wa Yote Anaweza kukupa moyo mgumu umkatae au moyo mlain umkubali Tizama Nami nikaufanya moyo wa farao kuwa mgumu zaidi unataka kusema farao anazambi au ametumika kama chombo Cha mafundisho... HAKUTAKUWA NA MOTO WALA AZABU YEYOTE BAADA YA KUFA namana twaishi kwa neema
 
5. Kwa kumkataa Yesu, Waisraeli walitufungulia sisi Mataifa mlango wa Wokovu

Ni jambo la kustaajabisha lakini ndivyo ilivyo: Waisraeli walipomkataa Yesu kama Masihi, Mungu aligeuza tukio hilo kuwa fursa ya wokovu kwa watu wa mataifa. Kwa kutokuamini kwao, injili ilielekezwa kwa Mataifa ili wote wanaotaka wamwamini Kristo wapate uzima wa milele.

Mtume Paulo aliandika wazi:
Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu..”
(Warumi 11:11)

Mungu, kwa hekima yake kuu, alitumia kosa la Israeli kama njia ya kuifikia dunia nzima kwa injili ya neema. Hii haimaanishi kuwa Israeli wameachwa, bali kwamba kipindi cha neema kwa Mataifa kinatumiwa kuwatayarisha na wao wamrudie Yesu.

Kwa hiyo, Wakristo tuna sababu za kutosha za kuwafurahia Waisraeli. Tunapaswa kuwashukuru kwa sababu kupitia wao, wokovu ulitufikia na sisi. Tuendelee kuwapenda na kuwaombea, tukijua kuwa neema ile tuliyopewa itawarudia na wao, soon.
Ahsante kutujuza, je biblia imesema lolote kwamba kitatokea kitu gani mpaka waisraeli wakiri kuwepo Mungu?
 
Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
My friend MK254
I think it's unwise and unfair to reduce the struggles of entire nations or communities to one religion, especially when peace-loving Muslims around the world live harmoniously with others and contribute richly to society. As the Bible teaches in Romans 12:18, "If it is possible, as far as it depends on you, live at peace with everyone." Let us promote understanding, not division.
 
Ahsante kutujuza, je biblia imesema lolote kwamba kitatokea kitu gani mpaka waisraeli wakiri kuwepo Mungu?
Asante mangi tz kwa swali hilo
Kulingana na "Eschatology," Biblia inasema Israeli watamkiri Mungu (na Yesu kama Masihi) baada ya kipindi cha dhiki kuu (Great Tribulation). Wakati huo, taifa la Israeli litakuwa limezingirwa na kupigwa na kuachwa karibu kuangamia—hapo ndipo watamlilia Bwana kwa toba ya kweli.

Zekaria 12:10
“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.”

Mathayo 23:39
“Hamtaniona tena, mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana!’”

Warumi 11:26 “Na hivyo Israeli wote wataokolewa.”

Kwa hiyo, dhiki kuu na kurudi kwa Yesu kwa utukufu ndiyo matukio yatakayowafungua macho Waisraeli wamkiri Mungu na Masihi waliyemkataa.

Soma nyuzi hizi upate picha kamili ya matukio makubwa yajayo:
 
Pastor chris-atuombee
Mwamposa-atuombee
Shaboca-atuombee
Geordavie-atuombee
Kimaro-atuombee
Hananja-atuombee
Kitima-atuombee
Kapola-atuombee
Masanja-atuombee
 
Pastor chris-atuombee
Mwamposa-atuombee
Shaboca-atuombee
Geordavie-atuombee
Kimaro-atuombee
Hananja-atuombee
Kitima-atuombee
Kapola-atuombee
Masanja-atuombee
Ndugu yangu@pet96
Ni vizuri kuwa na viongozi wa kiroho wanaotuombea—lakini tusisahau kuwa kila mmoja wetu amepewa nafasi ya kumwendea Mungu moja kwa moja. Katika kitabu cha Waebrania 4:16 tunaambiwa: "Basi na tukikaribie kiti cha rehema kwa ujasiri, ili tupewe rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji."
 
Makafiri kwa ujinga hamjambo!
Israel hi hi ninayo ijua mimi inayoongoza kwa kumbagua mkristo,.......inafikia hatua akionekana mkristo anatemewa mate na kudhihakiwa.
Israel hi hi inayo ongoza kwa idadi kubwa ya mashoga Duniani,......ndio iwe nchi takatifu jamani?

Acheni ujinga, hizo imani za kipuuzi ndio zimetufikisha hapa waafrica.
Yani unachonga sanam wewe mwenyewe kisha unaliabudia kama bikra maria.
Ukombozi wa kifikra unahitajika jamani sio poa.
 
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?

Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.

Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:

1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)

Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.

2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)

Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.

3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)

Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.

4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)

Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)

Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”

Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.

Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
Ufalme wa Muumba aliyemtuma Yesu alikataliwa na Israel ulishahama mashariki ya kati kupitia aliyosema Yesu katika

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Japo wapo wanaojua hilo hasa vikundi vya siri.
 
Back
Top Bottom