Wamekokoteza ibada ya hisia yaani kuenzi tukio ,kutokula nyama ambayo asili yake ni pande la damu hata damu hiyo ilimwagika aliposulubiwa kwa mujibu.
Mantiki ,kuungana kiroho katika kuenzi lile tukio ,hamna hitaji la andiko maana ni ibada ya watu kukubali kuungana kwa vitendo na moyo kuenzi tukio hilo.