Kwanini wakiharibu hawawajibishwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wakiharibu hawawajibishwi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Columbus, Apr 10, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tumeshuhudia kashfa nyingi huko Bongo lakini wakosaji hawawajibishwi,hivi ni kwanini?EPA,RICHMOND,KAGODA,MEREMETA,RADA,IPTL,KIWIRA COALMINE,UDOM na nyingine mnaweza kuziorodhesha hapa.
  Je hakuna kifungu cha sheria au katiba kinachoweza kuwawajibisha wahusika? Huku viongozi wa serikali na makampuni wanawajibika ipasavyo vinginevyo umekwisha na ndio maana wanaendelea.
   
 2. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa ni nani amwajibishe nani, yaani nani amtupie mawe mwanamke mzinzi mpaka afe,kwa kuwa sifa ya anayetakiwa kumtupia mawe mwanamke mzinzi ni kutokuwa mzinzi. Kwenye sheria wanasema no one can be judge in his own course.
   
Loading...