yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk