technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Nisogezee limshangazi limoja
Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
Umetongoza wake za watu 8 ukatembea nao wa 5. Halafu uka conclude kuwa ambayo hawajaolewa hawachepuki kama walio olewa. Wakati hujatongoza asiyeolewa hata mmoja.Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua
Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida
Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Ewaaaaa mambo si ndio hayo. Vitu vyangu kabisa.
Nilitaka nimwambie hivi hivi.Sasa mtu ambae hajaolewa atachepuka vipi? Ni sawasawa na kusema mtu anazini wakati hajaoa/kuolewa
Kama unatongoza zaidi wake za watu kwanini wasiongoze kuchepuka?
Ila suala la kutongoza mke wa mtu sio la kujisifia ni miongoni mwa upuuzi kwa mwanaume anaejitambua.
Mambo Ipo huku
Aisee, haya ni maongezi ya mume kwa mke? Kwa rejea hii taasisi ya ndoa imeharibika.Wakienda kuwasalimia mama zao huwa wanakutana na X wanaliwa hukohuko. Kinachoumiza ndugu huwa wanajua lakini wanapiga kimyaView attachment 3555071
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?