Kwanini wajane ni wengi kuliko wagane?

Kwanini wajane ni wengi kuliko wagane?

Ni kwasababu wanaume tunapiga nyeto sana na kupoteza mbegu kusipokusudiwa.

Wataalam wanadai shaawa zinazopotezwa na wanaume kwa kupiga nyeto katika uhai ni zaidi ya ujazo wa zaidi ya ndoo kumi ya lita 10.
 
nilikua nafanya tafiti na shirika moja lisilo la kiserikali zinazowahusu watoto yatima

Mojawapo ya gunduzi ni uwepo wa wajane wengi wa kike kuliko wagane na nilipojaribu kuuliza sababu ya haya niliambiwa kua wanaume kote duniani hufa mapema kwa kua wao ni RISK TAKERS

hii RISK TAKERS ina nyanja nyingi na maana pana sana ila jua tu hivyo ndyo sababu tupo probe kwenye ajali maradhi vita n.k
Daah....vipi kuhusu hili la kuwaza majukumu ya kifamilia, halipunguzi life expectancy?
 
Ni kwasababu wanaume tunapiga nyeto sana na kupoteza mbegu kusipokusudiwa.

Wataalam wanadai shaawa zinazopotezwa na wanaume kwa kupiga nyeto katika uhai ni zaidi ya ujazo wa zaidi ya ndoo kumi ya lita 10.
Kwani kila mwanamume anapiga nyeto?
 
Sababu zinachangia ni kuvurugwa na wenzi wao pindi wawapo kwenye mahusiano/ndoa ambapo hupata sumu inayowaangamiza taratibu.
Mwanaume pia ni kichwa cha familia ambapo hubebe majukumu mengi tofauti na mwanamke.
 
Back
Top Bottom