Kwanini waislamu mko hivi??

Kwanini waislamu mko hivi??

Sasa hapo Uislam unahusikaje? Hiyo ni tabia ya Mtu na wapo Wakiristo pia wana tabia hizo, suala la Dini halihusiki hapo Dada
Sidhani ipo Dini yafundisha Ujirani mwema kama Uislam hasa apatapo jirani yako mabalaa au majanga haijalishi Muislam au asiye Muislam
 
Back
Top Bottom