Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 56,378
- 106,426
Nitakuwa nakusubiri.Labda tuanze kwako kufa kwangu hadi 106 sijui kama utakuwepi
Nitakuwa nakusubiri.Labda tuanze kwako kufa kwangu hadi 106 sijui kama utakuwepi
NI kweli eti unadhani kuwa sioni ila nikiangalia waislam wanaongozaAdopt system ya uswahilini,
Usipokuja kwangu, siji kwako,
Usipokuja kwenye sherehe au msiba kwangu, na mimi sitokuja kwa wako,
Nikikutunza laki, lazma unitunze double ya nilichokupa na usipofanya hivyo nakuja kukudai na tarumbeta 😁
Hata hivyo, hiyo issue ipo kwa wote tu mkuu. Watu huwa hawakumbuki wema wa watu na muda mwingine hulipa ubaya kwa waliowatendea wema. Sio issue ya dini ila binadamu ndivyo walivyo
Hapana uhalisiaWw kilichokuleta ni zuchu na nandy
Kamsaidia kafir mwenzie anafikiri kasaidia waislam wote.JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .
UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .
Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .
sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.
Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??
Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
Unaweza kua muislam nje ya uislamu?Nimesema waislam sijasema uislam
that's not a businessIla nataka kufahamu shida nini??
Noma kinoma.Hapo uislamu unahisikaje?
Babe umefanya utafiti makini na wa kina sana. Target population iko safi, Sample size iko vizuri, Sampling procedure nayo safi! Case Study iko poa. Hakuna wa kukupinga kwenye jambo hili.JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .
UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .
Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .
sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.
Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??
Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
Wewe na kupa ijumaa talaka ya pili kama umkanyi katuni yakoBabe umefanya utafiti makini na wa kina sana. Target population iko safi, Sample size iko vizuri, Sampling procedure nayo safi! Case Study iko poa. Hakuna wa kukupinga kwenye jambo hili.
Wasiwasi wa ninuKWanza profile yako inanitia wasiwasi
Kuna watu wanahamu tu ya kutukana imani za watu na waumini wa dini zingine hua wanatafuta sababu tu kama huyu mleta uziSijaelewa hapo Sasa dini na tabia ya mtu binafsi inahusikaje
Ivi bado mnaangalia bifu za wasanii ambao wanateneneza Kiki ili wapate views? Au hujaona Nandy anataka toa album?
Mimi pia mkristo ila Nina watu wangu wa karibu wako ivo na ni wakristo hiyo ni tabia
Kuwa na utu shukrani na fadhila haipo uswahilini ipo dunia nzimaBila shaka mnatokea familia za Kiswahili