SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,641
- 10,969
JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .
UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .
Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .
sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.
Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??
Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??