Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
MTU AMBAE NI MCHAWI ANAMILIKI MISUKULE YA KING KE NA ME KUNA DILI KUBWA SAANA NJOON PRIVATE TUPIGE STORI NJOO UONDOKANE NA UMASIKINIHawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
Hahaha hakika uchawi haujawahi muacha MTU salamanilimuuliza mmoja, nikajikuta ulimi umefika magotini.
jichawi WakaribishwaNahitaji mchawi pm gwiji nimpe dili
Je na nchi zinazosifika kwa uchawi zisizo na maendeleo zijadiliwe au tujadili watu wake tu ?Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
Tuzijadili tuJe na nchi zinazosifika kwa uchawi zisizo na maendeleo zijadiliwe au tujadili watu wake tu ?
Sawa , ngoja nijiandae .Tuzijadili tu
Nigeria hawana kitu uchawi wao ni kwenye movie tu fullstoopJe na nchi zinazosifika kwa uchawi zisizo na maendeleo zijadiliwe au tujadili watu wake tu ?
DuhhhUchawi maana yake ni UJIMA, (Rejea Kamusi ya kiswahili kupata maana)
Huwezi kuuliza swali, ni kwa nini mtoto Mchanga hatembei...!!
Wachawi ni watu wa kwanza na wa pekee, wanao zingatia MIIKO ya Kazi/Fani yao..
Usitake MCHAWI afanane na kuwa na maisha sawa na Mfanyakazi au Wafanya biashara Mafisadi..!
Wakinga ni washirikinambona nasikia wakinga wametajirika na huo huo uchawi? au kuna aina zake?
Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
Wala siendi huko mku , Nazungumzia nchi pekee duniani inayoua Albino na watafiti .Nigeria hawana kitu uchawi wao ni kwenye movie tu fullstoop