Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,673
kumbe hamna haja ya MTU kuwa mrozikwakua nia yao ni kukomoa watu tu,,,kwakua kila jambo linaongozwa na nia basi hawawazi kufanikiwa ila kukufanya wewe usifanikiwe.
hakuna kabisaaa.kumbe hamna haja ya MTU kuwa mrozi
ndioWe unawafahamu hao wachawi?
Basi ni vizuri ungewauliza....... Halafu ukatupa mrejesho kama hutojalndio
nilimuuliza mmoja, nikajikuta ulimi umefika magotini.Basi ni vizuri ungewauliza....... Halafu ukatupa mrejesho kama hutojal
Usije ikawa unamfananisha MGANGA ama yule anae kwenda kupata TIBA kwa Mganga na Mchawi.mbona nasikia wakinga wametajirika na huo huo uchawi? au kuna aina zake?