kwanini wababa hukimbia majukumu yao

N

naa

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
377
Likes
169
Points
60
N

naa

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
377 169 60
Leo nlikua nasikiliza radio fulani nikasikia wanasoma barua zilizoandikwa na watoto waliokimbiwa na baba zao. Hii ikanifanya nikumbuke maisha yangu ambayo me pia nimekumbwa na mkumbo huu wa kukimbiwa na baba yangu ki ukweli roho imeniuma sana nmebaki kujiuliza ni sababu ipi kubwa na ya msingi inawafanya wakimbie majukumu yao?? Au huwa wanafeel vipi pale wanapowatelekeza wamama na watoto bila msaada wowote?? Tena wengine hata ukiaamua kuwatafuta akat tayar una akili zako bado wanakupotezea,Hapa hua nazidi kuona wanaume ni wakatili sana jamani hua natamani sana kujua sababu znazowafanya wawe hivi.
 
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Messages
3,908
Likes
184
Points
160
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2007
3,908 184 160
Mwanamme anasepa zake kama hana uhakika kama mtoto ni wake!

Kwa nini ubambikizwe halafu ulee mtoto wa mtu?
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,437
Likes
3,511
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,437 3,511 280
Wanawake wengine midomo yao inawaponza.
 
Texas Tom.

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Messages
510
Likes
8
Points
0
Texas Tom.

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2013
510 8 0
Tatizo la mijiyanawake mengine hasa ya kiafrika sijui yakoje ..unakutana nae leo tu kesho anakwambia ana mimba, utadhani alikua hajijui au wanafanya makusudi kabisa ili uyaoe , wengine unakuta alishindikanaga huko anatafuta pa kufia ..mwanaume huwa hakimbii hivihivi lazima utakuta kuna kitu kimemkwaza sana, hebu fikiri mkeo anakumbia unajipendekeza nini na huyu mtoto ni wako??? MKISHAPATA MIBUZI NYODOOOOO NDO INAWAPONZA !!!!!!!!!!
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,501
Likes
10,471
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,501 10,471 280
Hao watoto wana hakika gani kwamba hao wanaowashutumu kuwa wamewakimbia ni baba zao kweli? Wanawake tulizeni viuno, hii tabia yenu mbaya ya kuwabebesha watu mimba zisizo zao ndio mnatuletea majanga. Nimekutana na wewe leo, kesho kutwa una mimba...loh!
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Likes
868
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 868 280
Na wanaume mfunge zipu zenu. Halafu nani kakwambia mimba inatungwa kwa mwaka mzima, au mpaka mabao yawe 6?
Muwe men enough kuwa responsible for ur actions bwana, halafu matangazo ya condoms huwa hamyasikii?
Hao watoto wana hakika gani kwamba hao wanaowashutumu kuwa wamewakimbia ni baba zao kweli? Wanawake tulizeni viuno, hii tabia yenu mbaya ya kuwabebesha watu mimba zisizo zao ndio mnatuletea majanga. Nimekutana na wewe leo, kesho kutwa una mimba...loh!
 
mimisa

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
2,512
Likes
9
Points
0
mimisa

mimisa

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
2,512 9 0
kwani unapopanda mbegu unategemea nn
Tatizo la mijiyanawake mengine hasa ya kiafrika sijui yakoje ..unakutana nae leo tu kesho anakwambia ana mimba, utadhani alikua hajijui au wanafanya makusudi kabisa ili uyaoe , wengine unakuta alishindikanaga huko anatafuta pa kufia ..mwanaume huwa hakimbii hivihivi lazima utakuta kuna kitu kimemkwaza sana, hebu fikiri mkeo anakumbia unajipendekeza nini na huyu mtoto ni wako??? MKISHAPATA MIBUZI NYODOOOOO NDO INAWAPONZA !!!!!!!!!!
 
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
700
Likes
181
Points
60
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
700 181 60
Hao ndio wanaoitwa wanaume suruali. Si kila mwanaume alie na mtoto anastahili kuitwa baba. Kama hana majukumu kwa watoto wake, huyo ni sperm donor tu. Mlezi/mzazi ni yule anaewajibika, ambae anaweka drama zozote alizonazo na mzazi mwenzake ili kuhakikisha watoto wanalelewa vizuri na kutunzwa bila kuteswa.

Wanaolaumu kina mama ni washenzi tu. Kondomu zipo kama hamuwezi kufatilia siku za mwanamke wako. Kama huna mpango wa kuoa wala kutunza vitoto basi funga zipu, vaa kondomu, au acha kutembea na wanawake usiowaamini na usiokuwa na mpango wa kuoa!! Kama unaona umetegeshewa, nenda kapime DNA ijulikane kimoja, acheni visingizio.
 
N

naa

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
377
Likes
169
Points
60
N

naa

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
377 169 60
Mwanamme anasepa zake kama hana uhakika kama mtoto ni wake!

Kwa nini ubambikizwe halafu ulee mtoto wa mtu?
Kaka angu kuna namna kbao za kuthibitisha ka nimwanao au sio mwanamke co mpumbavu kiac hiko akusakazie mtoto tu from nowhere na kama huna uhakika c mkpamime hata DNA
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,230
Likes
358
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,230 358 180
Makubaliano kabla ya sex yalikuwaje?
Huku ninapoishi kuna kabila fulani ambalo ukisimama na mwanamke kando ya barabara mchana kweupe, ile unamuuliza jina lake tu, mwenzio huku anapiga multiple-orgasm, ghafla anatafuta maliwato ili ajiswafi...anachotaka ni kufanywa tu, hawataki maneno ya kupamba!, ukiongea sn unaitwa Mswahili!

Now, unategemea nini kwa mwanamke wa aina hyo? Si msala huo? Ukibeba mtu wa aina hiyo tegemea baada ya wiki mbili atakwambia "sioni siku zangu"..!

Kweli sidhan kama mtu wa aina hiyo mwanaume atakuwa radhi kuingia mkataba wa kubeba mzigo huo, maana mawazo yao yanaishia kwny ngono, hayavuki hapo hata milimita moja...seenzi kabisa.
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
120
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 120 145
Tatizo la mijiyanawake mengine hasa ya kiafrika sijui yakoje ..unakutana nae leo tu kesho anakwambia ana mimba, utadhani alikua hajijui au wanafanya makusudi kabisa ili uyaoe , wengine unakuta alishindikanaga huko anatafuta pa kufia ..mwanaume huwa hakimbii hivihivi lazima utakuta kuna kitu kimemkwaza sana, hebu fikiri mkeo anakumbia unajipendekeza nini na huyu mtoto ni wako??? MKISHAPATA MIBUZI NYODOOOOO NDO INAWAPONZA !!!!!!!!!!
Mbona kuna wengine watoto ni wa kwao kabisa na bado wanakimbia wake zao. Sawa labda mama ana mdomo sana je ni vizuri kumuadhibu na mtotto asiye na kosa. Ni mibaba mingi sana inafanya hii kitu yaani hadi inauma walah halafu mtotto akikua kwa taabu na kufanikiwa wao ndio wa kwanza kuja kuomba msaada na kukwambia ubaya wa mama yako. Hapana hii haikubaliki kabisa lol.
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
120
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 120 145
Hao ndio wanaoitwa wanaume suruali. Si kila mwanaume alie na mtoto anastahili kuitwa baba. Kama hana majukumu kwa watoto wake, huyo ni sperm donor tu. Mlezi/mzazi ni yule anaewajibika, ambae anaweka drama zozote alizonazo na mzazi mwenzake ili kuhakikisha watoto wanalelewa vizuri na kutunzwa bila kuteswa.

Wanaolaumu kina mama ni washenzi tu. Kondomu zipo kama hamuwezi kufatilia siku za mwanamke wako. Kama huna mpango wa kuoa wala kutunza vitoto basi funga zipu, vaa kondomu, au acha kutembea na wanawake usiowaamini na usiokuwa na mpango wa kuoa!! Kama unaona umetegeshewa, nenda kapime DNA ijulikane kimoja, acheni visingizio.
Wanaujua ukweli lkn wanatafuta visingizio tu , tumeshuhudia familia kadhaa mababa ni irresponsible kabisa yaani wanajifnya hamnazo. Kinamama wanahangaika weee kutunza hao watoto kwa kuchoma maandazi. Wao wako ulevini na vimwana wapya . Halafu bado baba huyo anamponda sana huko nje na kumpa kila aina ya sifa mbaya kasahau kuwa kamuachia watoto.
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
120
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 120 145
Hao watoto wana hakika gani kwamba hao wanaowashutumu kuwa wamewakimbia ni baba zao kweli? Wanawake tulizeni viuno, hii tabia yenu mbaya ya kuwabebesha watu mimba zisizo zao ndio mnatuletea majanga. Nimekutana na wewe leo, kesho kutwa una mimba...loh!
Sasa ulitaka mimba iingie baada ya muda gani. Acheni hizo hebu tunzeni watoto wenu bhana . Tena baba wa hivyo ndio wa kwanza kudai matunzo waonapo watoto wao mambo safi, bila hata aibu.
 
H

halikela82

Senior Member
Joined
May 14, 2013
Messages
187
Likes
2
Points
0
H

halikela82

Senior Member
Joined May 14, 2013
187 2 0
Noma sana kitanda hakizai haram wandugu kifupi2 ni dhambi kubwa wengine wanashindwa kuwa wazi kama life imegoma anatafuta kisingizio basi apate kusepa zake hakuna kingine hapo wengine wanadanganywa na makundi makundi mabaya sana. Kule ndo zinakotengenezwa fitna
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,208
Likes
2,353
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,208 2,353 280
Kabila gani hilo Mkuu PakaJimmy:yell:
Makubaliano kabla ya sex yalikuwaje?
Huku ninapoishi kuna kabila fulani ambalo ukisimama na mwanamke kando ya barabara mchana kweupe, ile unamuuliza jina lake tu, mwenzio huku anapiga multiple-orgasm, ghafla anatafuta maliwato ili ajiswafi...anachotaka ni kufanywa tu, hawataki maneno ya kupamba!, ukiongea sn unaitwa Mswahili!

Now, unategemea nini kwa mwanamke wa aina hyo? Si msala huo? Ukibeba mtu wa aina hiyo tegemea baada ya wiki mbili atakwambia "sioni siku zangu"..!

Kweli sidhan kama mtu wa aina hiyo mwanaume atakuwa radhi kuingia mkataba wa kubeba mzigo huo, maana mawazo yao yanaishia kwny ngono, hayavuki hapo hata milimita moja...seenzi kabisa.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,789
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,789 280
Ngono nzembe hazikubaliki!
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,789
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,789 280
Hahahaha.
Umenifurahisha aisee.
Sasa huyo si ndo mzuri kaka, hakuchoshi. Hata ukirudi nyumbani unaongea huku yeye anamaliza.
Makubaliano kabla ya sex yalikuwaje?
Huku ninapoishi kuna kabila fulani ambalo ukisimama na mwanamke kando ya barabara mchana kweupe, ile unamuuliza jina lake tu, mwenzio huku anapiga multiple-orgasm, ghafla anatafuta maliwato ili ajiswafi...anachotaka ni kufanywa tu, hawataki maneno ya kupamba!, ukiongea sn unaitwa Mswahili!

Now, unategemea nini kwa mwanamke wa aina hyo? Si msala huo? Ukibeba mtu wa aina hiyo tegemea baada ya wiki mbili atakwambia "sioni siku zangu"..!

Kweli sidhan kama mtu wa aina hiyo mwanaume atakuwa radhi kuingia mkataba wa kubeba mzigo huo, maana mawazo yao yanaishia kwny ngono, hayavuki hapo hata milimita moja...seenzi kabisa.
 
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
700
Likes
181
Points
60
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
700 181 60
Wapo katika kila familia, kama si kila mtaa unaoishi. Yaani inaleta hasira. Sijui which is worse, yule anaeondoka kabisa never to return, au yule ambae yupo nyumbani kama baba tu lakini amejitoa 100% kwenye majukumu yote kama mzazi. Kuna wale wanaotekeleza familia na kuenda kutunza kimada alie na watoto tayari. Hao ndio takataka kabisa!QUOTE=Ablessed;6570434]Wanaujua ukweli lkn wanatafuta visingizio tu , tumeshuhudia familia kadhaa mababa ni irresponsible kabisa yaani wanajifnya hamnazo. Kinamama wanahangaika weee kutunza hao watoto kwa kuchoma maandazi. Wao wako ulevini na vimwana wapya . Halafu bado baba huyo anamponda sana huko nje na kumpa kila aina ya sifa mbaya kasahau kuwa kamuachia watoto.[/QUOTE]
 
Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060