Kwanini vyoo vya wanaume hukaa mkono wa kushoto sehemu nyingi za public?

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
802
Nimetembelea maeneo mengi ya public mfano mabenki,vyoo vya kulipia,ofisi kubwa za serikali,vyuoni utawala,Mara nyingi kila nikiingia najikuta alama ya suruali IPO mkono wa kushoto na alama ya Gauni au sketi popote pale lazima niende kushoto, kwanini? Je kuna maswala ya imani,au nisheria lazima ifuatwe? Cc Mshana junior! Naomba nijuzwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio taratibu za nchi uliyo fanyia uchunguzi
 
Hilo swali lako libadilishe liwe kwa mfumo wa kingereza halafu nikujibu kwa njia ya kiswahili..
 
Nimetembelea maeneo mengi ya public mfano mabenki,vyoo vya kulipia,ofisi kubwa za serikali,vyuoni utawala,Mara nyingi kila nikiingia najikuta alama ya suruali IPO mkono wa kushoto na alama ya Gauni au sketi popote pale lazima niende kushoto, kwanini? Je kuna maswala ya imani,au nisheria lazima ifuatwe? Cc Mshana junior! Naomba nijuzwe!

Sent using Jamii Forums mobile app

UTATA NI HUU:Siku hizi wanawake wanavaa suruari Sasa hapo inakuwaje wakati nembo inaonyesha Sketi na suruari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom