Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

Nimekuambia kama wananchi hawampend Mbowe leteni tume huru ya uchaguzi, mbona kazi nyepesi tu, tunashindana hapa wakat kuna njia rahisi ya ku prove wrong mimi au wewe?

Mbowe hapendwi anapendwa maguful, leten hyo tume huru na mtoe uhuru wa kujieleza bila kutumia policcm, neccm na wakurugenccm tuone uhalisia
 
Nawashangaa watu wanaomlinganisha Mbowe na Mh. Magufuli. Magufuli ana historia kubwa sana ya utendaji kazi kwa zaidi ya miaka 25 akiwa waziri na Rais. Amefanya kazi inayoonekana sio maneno kama Mbowe.

Mbowe ameshindwa kujenga Ofisi ya makao makuu ya Chama kwa miaka 17 sasa ya uenyekiti wake. MTU kama huyo huwezi hata kumlinganisha na mwenyeki wa Kiji cha Songambele.

Wanachama wako Tayari kuchanga mil.300 kwa siku nne kulipia faini ya wahalifu watashindwa vipi kuchanga fedha za kujenga ofisi ya Chama?

Porojo na uzushi wa jukwaani Mbowe anaweza lakini utendaji ni ziro.
 
Katika hayo aliyofanya maguful alitumia pesa yake ngap?? Unawaza ofisi?? Kwa jinsi alivyo na hasira huyo maguful angekuwa ndiye yupo kwenye nafas ya mbowe huenda angeshajinyonga

Leteni tume huru ya uchaguzi, weken polis kando, tiss kando, wakurugenz ambao ni ccm kando

Mwisho tuone jinsi alivyofel Mbowe na alivyofanikiwa Maguful na Ccm yake
 
Sijui ndio umeandika nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…