Amani Dimile
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 243
- 399
- Thread starter
-
- #41
Hilo neno kabisa [emoji736][emoji736][emoji736]Haya mambo yapo wazi sana mkuu..... mwanaume kushindwa kukaa na kumuongoza mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na hiyo inakukosesha sifa ya kuitwa mwanaume kamili.
Kimsingi mwanaume hapaswi kumshindwa mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]Kama nawaona wanawake wanavyoupita huu uzi kwa mbali
Sawa na sisi si kwamba tunasema eti kumuogopa kwamba ana nguvu kubwa kutuzidi hapana Fear Woman inamaanisha kutia wasi wasi ndani ya maamuzi au mategemeo yako huu yake.Kumuogopa mwanamke ni udhaifu wa namna yake.
Shida yote inatoka kwetu wanaume, lawama zote ziulekee moyo wa kupenda, tunapowapenda tunakosa kwa upendo wote ndio udhaifu wetu kwao unaonekana na hapo ndio wanapotupiga .
Usimuogope mwanamke bali usimuwekee matarajio ya aina yoyote wala usimpe umuhimu unaozidi kipimo cha umuhimu.
Hata hivyo mwanamke ndie mama, unapo mtazama mwanamke kwa engo yoyote mtazame kama mama.
Sasa watu hawaelewi wanahisi tunasema ogopa wanawake kujificha hapana hatusemi hivyo ila tunasema ogopa mwanamke yaani usimuamini asilimia 100 weka nafasi ya mashaka juu yake [emoji736][emoji736][emoji736]Mtu wa karibu ndio adui, Mwanafunzi ndio adui wa baadae kwa Mwalimu,
ogopa kilichotoka kwako ndicho kinachoweza kukudhuru
π kuna vijana wadogo sana wanajoin JF utawaharibunashukuru mwaka wa 4 hakuna KE iliyokula pesa yangu
mwendo wa nyeto tu
Fanya namnahii....Sawa na sisi si kwamba tunasema eti kumuogopa kwamba ana nguvu kubwa kutuzidi hapana Fear Woman inamaanisha kutia wasi wasi ndani ya maamuzi au mategemeo yako huu yake.
Umuamini asilimia ngapi ???Fanya namnahii....
Usije uka anzisha maisha na mwanamke ambae unamashaka ama wasiwasi juu yake. Hata kama umempenda vipi, jaribu kuushinda moyo umuache na uanzishe maisha na mwanamke unae muamini na anae kutii
Pole Braza kumuweza ni maamuzi ya mwanamke kuamua, akigoma kutawalika imekula kwako.Haya mambo yapo wazi sana mkuu..... mwanaume kushindwa kukaa na kumuongoza mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na hiyo inakukosesha sifa ya kuitwa mwanaume kamili.
Kimsingi mwanaume hapaswi kumshindwa mwanamke
Hii nayo Ina ukweli, ila hawawezi elewa sababu hawajaoaPole Braza kumuweza ni maamuzi ya mwanamke kuamua, akigoma kutawalika imekula kwako.
πnashukuru mwaka wa 4 hakuna KE iliyokula pesa yangu
mwendo wa nyeto tu
π Awarudishe kina Nani ...dunia inachanganyikiwa kwa kasi.Mungu aondoe UTI,Gono, Ngoma kwanza, Mungu arudishe wanawake wa zamani wasiopiga mizinga
Mwana kupata KE submissive kazi..unaweza jishusha utafute balance inabuma ukiwa mtemi Napo shida utauawa hata kwa sumu.....so ni kuishi kujibanza na kutomuamini mtu.Hii nayo Ina ukweli, ila hawawezi elewa sababu hawajaoa
Usinipe pole kijana, hapa nakupa hoja tu kwamba....Pole Braza kumuweza ni maamuzi ya mwanamke kuamua, akigoma kutawalika imekula kwako.
Mkuu, hili ni swali la hovyo sana ambalo nirahisi sana kunifikitisha kwamba wewe ni mwanaume wa aina gani...π€Umuamini asilimia ngapi ???
Hapa umejibu swali gani ? Au kama hili ni Jibu swali ni lipi ?Kitabu kimoja kilichosomwa na watu elfu moja kamwe hakiwezi kuwa na maana moja. Ahsante [emoji1755]