Kwanini viongozi wa upinzani wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kuliko wa chama tawala?

akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
308
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi


Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
 
Wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kwa sababu unawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizoendelea hubadilisha chama tawala kila miaka 4-8 sisi miaka 60 sasa ni chama kile kile ndio maana viongozi wa chama tawala wanajisahau na kuwa wazembe. Janga likitokea wanasepa na kwenda kujificha badala ya kuwa mstari wa mbele.
 
Ccm hawajawahi kua na akili timamu...... kazi yao ni kupika taarifa za mapato, taarifa za kukua kwa uchuki wkt uhalisia unaonekana mtaani....
Hawa mbwa walisema sisi sasa ni dona kantri.....
Ukija kwenye uhalisia wa namna wanavyopambana na umasikini ni kilio cha kusaga meno......
 
Mkuu umeuliza swali lililotukuka mno ! ngoja nifuturu kwanza nakuja
 
Gege {wrong} genge{right}
Nilikuja tu kukurekebisha🙏🙏🙏
 
Jibu liko comment #6

Nimeishiwa pozi ulipomtaja mbunge wa Jimbo langu "John Heche"...Mungu wangu!!!!!!
 

Ni kwa sababu wana mawazo kinyume na yale ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…