akatanyukuile
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 314
- 308
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.
Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi
Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!
Ndo hayo karibu.