Kwamba ajira zipo nyingi ila vijana wana tamaa wanamuibia boss badala ya kusubiri mshahara wao ?
Either unaishi miaka hamsini iliyopita (wakati demand ya human resources ilikuwa kubwa) au haujawahi kusikia kitu kinaitwa unemployment au upo out of touch...
Sijui ni kipi ila ulichoongelea hakina uhalisia...
Hakuna kipindi hapa Tanzania vijana hawachagui kazi kama sasa..., kuna kipindi kama miaka ishirini tu iliyopita watu walikuwa wanachagua kazi mtu kwenda ualimu, uaskari, jeshi au kuwa nurse mpaka ashikiwe bakora na kulazimishwa.., Tatizo sio vijana wa sasa bali watunga sera wa sasa wameshindwa kubadilika na wakati ili kuweza kutumia hii human resources ambayo ni future time bomb