Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kiutamaduni wa Kitazania, mtu "kibonge" maana yake anashiba vizuri.

Vipi tena utegemee mambo ya watu wenye njaa kutokea kwa mtu aliyeshiba?
Utakua kibonge nini madam[emoji848]
 
Unashiba au unakula kwa ulafi madam🀣🀣
Waislam tuna mafundisho mpaka ya kipimo cha chakula, hilo wala siyo suala kwa Muislam:

Kula, siyo zaidi ya nusu tumbo, robo tumbo kunywa maji na robo iliyobaki ya hewa. Na ukishakula inabidi usinzie japo dakika 20 mpaka nusu saa inaitwa "kailula".

Ukiamka hapo kajambe mashuzi yako, kachukuwe udhu kama haujasali, sali, ukafanye shughuli zako.

Upo hapo ulipo kijana?
 
Nimekupata madam πŸ’―
 
Tena hawanaga maneno mengi vibonge! Ni vitendo zaidi, nna dada angu Amina kibonge cha mtu, akivaa gauni jekundu akiwa mbali waweza dhani kibanda cha M -pesa.

Yaani ukienda kumlalamikia shida anakusikilizaaaa haongei kitu..anavuta mkoba anatoa mshiko safi.

Hata mabosi wa site mbalimbali ukimkuta kipipa utafurahi..
Hawana mbambambaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…