Kwanini vazi la Kaniki?

Reasoning kama hizi ndio zinawafungua watu, kwa upande wangu mambo ya rangi sijui namba ya bahati au matukio kuhusisha na rangi hua haipo kabisa.

Kwenye kila kitu kuna dunia 3
1.dunia ya uhalisia- sayansi na technolojia
2.dunia ya kufikirika -mambo ya rangi nyota uchawi ushirikina ulozi nk
3.dunia tusiyoitambua-vitu vinatokea bila uwezo wetu akili zetu wala maarifa yetu.Dunia ya Mungu

Sasa kwa asilimia kubwa wengi huchanganywa na kushindwa kujua kuwa aishi au kufuata dunia gani kwakuwa zote zipo kwa wakati mmoja na Zikiwa na mahusiano nawe kwa njia moja au nyingine
Mkanganyiko unakuja zaidi zinapochanganyika na mila desturi na tamaduni za sehemu mbalimbali ..usipokuwa makini na kujua unataka kujikita kwenye nini kujua kipi na kufuata nini..shida huanzia hapo
Kwa mfano kwenye hizi mada unaona kabisa baadhi ya replies mtu anajibu kutokana na muktadha huo hapo juu dunia ya 1-3 au tamaduni mila na desturi za mahali fulani
 

Mie ntakua nimejibanza hapo kwenye namba 1 na 3, ukiondoka na zote 1 hadi 3 unaweza ukawa na jicho la tatu:smiling:
 
Mie ntakua nimejibanza hapo kwenye namba 1 na 3, ukiondoka na zote 1 hadi 3 unaweza ukawa na jicho la tatu:smiling:

Hahhahahaaaa jicho la 3 ni colabo ya hizo dunia tatu kwa wakati mmoja it's a weird combination...lakini inabidi iwe hivyo....ukijikita kwenye kimoja tuu ni ngumu kufikia jicho la tatu kwakuwa utakuwa so limited kwenye mengine au ukijikita kwenye moja tu utapata jina hilo la hapo ulipojikita
Kwa upande mwingine na kwa tafsiri nyingine kiuhalisia jicho hilo la tatu ni combination ya hizo dunia tatu
 
Hapo ndipo ulipoharibu, nyeusi ni rangi tu, hata baadhi ya vitu vya asili, mawe, rangi ya ngozi, mawingu, matunda, wanyama n.k ni meusi na hakuna tatizo. Tatizo umefumbwa na dini za wazungu, za uongo, zinazojaribu kujibu swali gumu la uungu huku zikkuibia utamaduni, fedha na utu wako, wakati mwingine hadi miungu yako.

Umejivika uanazuoni usio nao!
 

Asante kwa kuchangia na kuhukumu pia
 
mkuu mshana Jr Mimi nadhani rangi nyeusi imependelewa kutumiwa kwenye
vitu vingi kwa sababu ni rangi ianyoakisi vema kwenye macho ya kila mtu.
 
Last edited by a moderator:
CrisAngel mara nyingi ktk mazingaombwe yake hakosi kuvaa kitu cheusi. Inaweza kuwa kofia au nguo alizovaa, nk.
ni Uchawi
 
mkuu mshana Jr Mimi nadhani rangi nyeusi imependelewa kutumiwa kwenye
vitu vingi kwa sababu ni rangi ianyoakisi vema kwenye macho ya kila mtu.
MeinKempf hii ni mada huru kwahiyo kila mmoja analo la kusema kuihusu , majibu yote yanayotoa chagizo chanya ni njia ya kujifunza na kujua zaidi lakini vile vile majibu hasi pia yanatupa mwanga wa kile wengine wanachokiwaza juu ya post za wengine . Kimsingi nazo pia ni funzo
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa anadai aliona watu wanne wameshika usinga mwekundu wamevaa kaniki wanamkimbiza mtoto pia anadai kuona watoto wadogo misukule wamevalishwa kaniki,,, lakin anayo yaona anona yeye kuna mambo mengi mshkaji anadai kuona mara kadhaa
vipi hapo mshana
 
Mmh nipe muda tarejea
 
Na baba yake Kaniki ni Sekaniki
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba hata shuka jeusi linahusiana na ushirikina?

Vipi hata ulaya wachawi wanavaa kaniki?
 
Mkuu hata sisi wengi wetu tuna rangi ya ngozi inyoendana na weusi.. hili je?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…