Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

Huko ndiko alikotaka Nyerere kuifikisha Zanzibar baada kuivamia
 
Mungano hauna passport 2 ni 1 tu. Passport ya jamuhuri ya watu wa Tanzania over.
Hiyo ni passport ya Tanganyika in disguise. Wazanzibari hatuna imani nayo , tunaichukuwa kwa kulazimishwa kwani tumevamiwa hatuwezi kuweka passport yetu
 
Paschal, asante kwa uchambuzi wako. Hakuna nchi inaitwa au iliwahi kuitwa Tanzania Bara. Muungano huu ni fumbo.
Rais wa Zanzibar akienda nchi za nje anatambulika kama Rais au namna gani?
 
Vatican ni mji na sio nchi. UN utambua nchi na sio mji
 
Maadam umejificha naona nikusaidie, HOLLY SEE siyo bahari takatifu(holly sea).
Pole braza I was in Rome few years ago. Umewekwa msituni kaka. Na vyote vipo mbele ya macho na kamwe hutaviona Wala kuelewa.
Nilichokiandika sijakosea hata kidogo.
 
Pole braza I was in Rome few years ago. Umewekwa msituni kaka. Na vyote vipo mbele ya macho na kamwe hutaviona Wala kuelewa.
Nilichokiandika sijakosea hata kidogo.
Kwahiyo msimamo wako ni Holly Sea! Kwaheri nimekushindwa kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…