Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiristo....
Hata Uhuru ulipokelewa Dar es salaam lakini makao makuu yako Dodoma! Fikiria hatua Mile Moja zaidi au walk extra mile!
Umoja wa mataifa genesis yake ni Versailles Peace Treaty (1919) na ilifanyika Paris France Ila Sasa makao yake makuu ni NEW York funguka akili
 
1. Makadinali huwa wanapata uraia wa Italy au Vatican?
2. Mizinga 21 anayopigiwa Papa akiwasili nchi ya ugenini Ni Kwa ajili ya nini?
3. Balozi wa Vatican na Italy kwenye nchi moja wanamuwakilisha nani na Nani?
 
Majibu ya ndugu Pascal mayala nimeridhika nayo ,, period
 
Alifika John Paul II hapa(Tanzania), msafara wake( wa magari) ulikuwa unaongozwa na Balozi wa Italia na bendera ya Italia.
 
Tukimaliza kuichambua Zanzibar tuhamie Hong Kong na Taiwan nako.
 
Naomba niwakumbushe ndugu zangu Yanga ameingia nusu fainali

Haya mjadala uendelee
 
1. Makadinali huwa wanapata uraia wa Italy au Vatican?
2. Mizinga 21 anayopigiwa Papa akiwasili nchi ya ugenini Ni Kwa ajili ya nini?
3. Balozi wa Vatican na Italy kwenye nchi moja wanamuwakilisha nani na Nani?
Jibu la swali namba tatu ni -: Dini na Nchi !!
 
Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiris

Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiristo....
Injili imeanzia Israel kisha hapo ndio watu wakatengeneza neno ukristo.Ukatoliki haukuanzia Israel hili ni dhehebu tu kama mengine japo ni dhehebu kubwa mno ila limeanzia Italy.
Watu wana tatizo moja kubwa mno wanaona Ukatoliki ndio unawakilisha Ukristo hii sio sawa kabisa.Kumbukeni kuwa hata huko Israel pia kuna watu sio wakristo ila ni wayuda au Judaists.
Hivyo usikariri kuwa Vatican inawakilisha wakristo wote.Ila ni sawa makao makuu ya Ukatoliki kuwa Vatican Italy kwasababu ndio Ukatoliki ulipoanzia na ndio maana ikaitwa Roman Catholic.
 
Kitendo tu cha kuwa na mabalozi tayari ni siasa. Tena siasa yao ni kali, wana hata uwezo wa kupangua maraisi popote duniani.
 
Mji MTAKATIFU ni JERUSALEM, Jiji la JERUSALEM lipo Hata mbinguni.

Vatikano ni mji MTAKATIFU wa mchongo.
 
Kitendo tu cha kuwa na mabalozi tayari ni siasa. Tena siasa yao ni kali, wana hata uwezo wa kupangua maraisi popote duniani.
Sio
Kitendo tu cha kuwa na mabalozi tayari ni siasa. Tena siasa yao ni kali, wana hata uwezo wa kupangua maraisi popote duniani.
Kwamba Vatican wakiamua kumpangua Joe Bidden, Vladmir Putin na Marais wengine Duniani wanaweza ? Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…