Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

Hilo la ndugu zetu Wa-Palestina utamuuliza Sheikh Kipozeo. Leo Ni zamu ya Vatican yenye Rais toka Bingwa wa Kombe la Dunia 2022, Argentina
 
2010 ndo kosa lilifanyika chini ya uangalizi wa Chama gani?
Mzazi/Baba/Mume, sometimes una ignores vikosa vidogo vidogo vya mkeo na watoto ambayo havina madhara kwa familia. Hivyo katiba rasmi ni katiba ya JMT, haiyatambui mabadiliko hayo ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi!.
As long as nchi kama nchi ni moja tuu, JMT, then hakuna tatizo mwingine yeyote kajiita nchi, mfano max anaweza kujiita rais wa jf na kuuita jf ni nchi ya JF.
P
 
Nchi ni moja tuu, JMT!, Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT.
P
Kwa hiyo unakubali hakuna muungano kuna uvamizi? Maana kama huu ungekuwa muungano basi ungeipa Zanzibar heshima yake kama nchi iliyoungana na nchi nyingine. Na kama kulikuwa na uvamizi na siyo muungano basi Zanzibar ina haki ya kugombea uhuru wake kama nchi yoyote ile iliyovamiwa au iliyokaliwa kiukoloni.
 
Point. !
 
The Holy See is the government of Vatican City, which is the global headquarters of the Catholic church and the smallest independent nation in the world. It is also the only independent nation to choose not to apply for membership of the United Nations. The logic behind this decision is said to be that the Pope prefers not to directly affect international policy. That said, other sources speculate that if Holy See were to apply, issues might arise regarding whether it was able to meet the U.N.'s definition of a country (particularly its ability to contribute to global security) and whether it was in fact a religious organization rather than a true state.
 
Speculation hiyo ya mwisho ina mantiki !
 
Ule ni mji mtakatifu wa kiroma na kiongozi wake ni papa kwa maana hiyo pale hamna siasa kama za nchi nyinginezo.

Na UN ipo kisiasa zaidi ni mawazo yangu naomba kusahihishwa
Kama haipo kisiasa isingekua na mabalozi, maana ubalozi ni political tena international politics
 
Yesu alihubiri sana kuhusu Ufalme wa Mungu Mbinguni, haya mambo ya siasa yametoka wapi? Mabalozi wa nini? Ina maana Wakatoliki wanajikita zaidi na ulimwengu kuliko ule Ufalme aliohubiri Yesu.
 
Hivi ni sababu gani inafanya nchi ya Vatican isitambulike kama nchi na Umoja wa Mataifa? Kuna nini hapo kimejificha?
Pitia humu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…