HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aaaah humu watu wakipata basi wanapenda kujipakulia nyama utasikia niliwapelekea moto panel balaa, kumbe kapita kwa Sympathy ya Panel washaona kijna Umri unamtupa mkono na Maisha Hana,, hebu basi tumbless na hii job... Yanafanyika haya kabisa😁

Au nasema uongo ndugu zangu..?
Ngoja nasi tusubiri umri ututupe mkono, miaka inavyoenda na neema inakaribia
 
Back
Top Bottom